Baada ya miaka 30 sababu inayowafanya wanawake kuzama kwenye dini sio wokovu. Kijana shtuka

Ule UKIMWI ulinifanya Nikaiogopa ngono sana. Unamuona binadamu mwenzako Kawa kama kijiti, madonda mdomoni, ute mweupe, chakula ni uji mwepesi na ananyweshwa na mtu anamuogopa utadhani anategua bomu.
AiseeπŸ€”
 
Reactions: Tsh
You nailed it my good sir.You couldn't have said better than this 🀌
 
Naichukua kama ilivyo, Nakazia tu hata kama una miaka 100 usio mwanamke anaezidi miaka 23 huyo ni chombo chakavu labda awe bikra.
 
Mara nyingi mwanamke anapona muda umesogea huwa wanaanza kujifanya wachaMungu ili wapate wanaume wakuwaoa na akishaolewa hutomuona tena kanisani yaani kuhudhuria tena makanisani ni kwa manati
Kwaio ukiona wadada makanisani jua kwamba wanatafuta wanaume wala hawana shida ya yesu πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…