Baada ya miaka 39, Taifa Stars yafuzu kucheza michuano ya AFCON 2019 baada ya uicharaza Uganda goli 3-0, Uwanja wa Taifa-Dar

Hata wakituachia goli 50 Uganda anaongoza kundi keshapita hana cha kupoteza after all ni majirani zetu nadhani unajua hata museveni siku tunacheza pale Kampala alisema hataki Uganda ishinde wala stars kwakua zote ni timu zake.hujapata picha tu
Acha siasa bana!!! Kwani yeye hataki sifa ya kuongoza na points kibao,Leo imewakalia vibaya tu full stop hakuna cha mbeleko wala nini.!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dakika ya 80 huko cape Verde na Lesotho ila ninapowaza goli ni sekunde inabidi niwe mpole na subra
 
Jamani naomba link ya kuangalia game ya cape verde na lethotho ili nibane mbupu matokeo yabaki hivi hivi..
 
Panic at ur own risk lakini ukweli ndio huo. All in all sherehekea punguzo la bia mkuu. Nohardfeelings
Mnataka wapae ndo mjue wanacheza? Mpira ndivyo ulivyo ndo maana tunasema dk 90 zinaongea,kwenye mpira chochote chaweza kutokea,imewakilia vibaya tu hakuna kubebwa wala nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…