Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
Bonge la Kiki hill kwa Bashite
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watanzania ni viumbe wa kusahau sana hawakumbuki hawa waganda tulitoka nao suluhu kwao game ya kwanza. Tuwavumilie tu wanao tesekaHadi wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]????
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Hahahaha nawarusha roho tu.lakni mkuu huoni Uganda wamecheza chini ya kiwango sana!? Unaamini tangu mpira umeanza hawajafanya attacking hata moja?Acha ufara
Acha ungeseGoooooooooooooooooooooooal 3-1 aaaafaadhali wamekosa
Bado 3-0
Acha siasa bana!!! Kwani yeye hataki sifa ya kuongoza na points kibao,Leo imewakalia vibaya tu full stop hakuna cha mbeleko wala nini.!!Hata wakituachia goli 50 Uganda anaongoza kundi keshapita hana cha kupoteza after all ni majirani zetu nadhani unajua hata museveni siku tunacheza pale Kampala alisema hataki Uganda ishinde wala stars kwakua zote ni timu zake.hujapata picha tu
Ahahaha poleniWeeeee jamaa wewe siyo bure utakuwa Mganda!!! Acha kuwapa watu presha
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti vinywaji vya nusu bei vinapatikana wapi, mangi kagoma kunipa Pepsi kwa 250[emoji1787][emoji1787]Bonge la Kiki hill kwa Bashite
tujiangalie, kuna uwezekano wa uganda na tz mmoja au wote kufungiwa.........mimi ni mshabiki wa starz.. ila najua waganda wametuachia ujirani mwema.. timu hatuna
Pole na wewe maana mipango imeenda vibaya hahaha!!Ahahaha poleni
Ionekane mazungumzo marangapi.match iliisha kabla haijaanzazinatosha jamani isije kuonekana mazungumzo!
Sasa wanataka TZ tufungwe ili wafurahi. Sasa sijui wanataka nani akomoleke.Watanzania ni viumbe wa kusahau sana hawakumbuki hawa waganda tulitoka nao suluhu kwao game ya kwanza. Tuwavumilie tu wanao teseka
Mnataka wapae ndo mjue wanacheza? Mpira ndivyo ulivyo ndo maana tunasema dk 90 zinaongea,kwenye mpira chochote chaweza kutokea,imewakilia vibaya tu hakuna kubebwa wala nini
Sent using Jamii Forums mobile app
Pacha si unajua Jf inapatikana hadi Uganda?