Baada ya miaka 39, Taifa Stars yafuzu kucheza michuano ya AFCON 2019 baada ya uicharaza Uganda goli 3-0, Uwanja wa Taifa-Dar

Mawazo mabaya sana haya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ilianza simba tarehe 16 march ilivunja record ambayo mara ya mwisho ilikua miaka ya 80s

Leo taifa stars imevunja record ambayo kwa mara ya mwisho ilikua miaka ya80s

Nategemea simba kuweka record mpya ikikutana na mazembe

Sent using unknown device
 
Kwa jinsi takwimu zinavyoendelea vizuri ,AFCON ikifanyika ‭ uwanja wa Benjamin Mkapa Tanzania itachukua kombe la Africa 😁 hatoki mtu hata Misri bingwa wa kihistoria.
 

Mimi Mtanzania Halisi niende Uganda Nikafanyeje?
Mimi ni Mzalendo wa Taifa langu niache nisherehekee ushindi
 
Kwa ushindi huu mkubwa leo hii tumepanda kwa nchi zenye watu wenye furaha duniani toka 153 hadi 25 😜. Kichaa akifungua kinywa chake tunaanguka tena hadi 154 πŸ™πŸ½ Hii ni kwa wiki mbili tu.
ahahaa! kabisa mkuu
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…