Hahahahaha😂😂😂😂
Yani wewe akili zako bhana
Bora hujaenda uwanjani mana ungeishika hiyo 'em bii o o' mara tatu!
Mie nikutakie mechi njema Money Penny...fanya viuno kwa utaratibu sasa usije kuivunja 😂😂😂
Mpigie mtoto mpendwa wa Baba aongeee na mshua!!!Huyu mzee anasubiri nini kutangaza mapumziko?[emoji2960][emoji2960]
Bwege wew tuone huko afcon kama utafanikiwa.Wana Jf,
Maendeleo hayana chama ndio ninachoweza kusema kilichotokea kwenye mpira Leo
Shukrani kwa mheshimiwa Makonda pia kwa uhamasishaji,
Rais magufuli wengi walijaribu lakini yeye ameweza ,aliwekeza kwa kocha, matunda yanaonekana
Kuna watu waliombea tufungwe lakini tumeshinda Kama watanzania
Chuki kwa viongozi hazitujengi, Tupongeza yanapofanyika mema
Lesotho nao wamepewa rushwa ili wasishinde?Rushwa imetembea, CAF lazima waichunguze vzr hii mechi, na adhabu itolewe.
Sent using Jamii Forums mobile app