Baada ya miaka 39, Taifa Stars yafuzu kucheza michuano ya AFCON 2019 baada ya uicharaza Uganda goli 3-0, Uwanja wa Taifa-Dar

Baada ya miaka 39, Taifa Stars yafuzu kucheza michuano ya AFCON 2019 baada ya uicharaza Uganda goli 3-0, Uwanja wa Taifa-Dar

Habar zenu wana JF ningependa kuwapongeza Taifa stars kwa kuweza kuongeza idadi ya timu 4 zilizofuzu kutoka East African Community na kuelekea huko Egypt kwa Michuano ya CAN2019 we so proud for u Tanzania ,,jana ilikua shangwe na vigeregere nchini (Burundi) baada ya timu yetu ya taifa Intamba Murugamba kuweza kutoka sare sare na timu ya Gabon Burundi ikaweza kuwa qualified kwenye CAN 2019 ..mwambieni Mr Slim azidi kubana mipaka sisi East Africa tunasonga mbele!![emoji120][emoji120][emoji120][emoji120] i' am so Proud with all of us Burundi,Kenya,Uganda,Tanzania, Mungu atubariki tufike mbali hukoo Egypt !!
 
Mods muwe mnafuta thread za hovyo hovyo kama hizi. Siyo vizuri kuwaruhusu hawa nzi wa kijani kuja kutuvurugia hii furaha yetu walau ya siku moja tu baada ya timu yetu ya Taifa kupambana na kufuzu afcon.

Msisahau ya kuwa Tanzania ni nchi ya nne kutoka mwisho duniani wananchi wake kukosa furaha huku sababu kubwa ikiwa ni hawa sisiemu na viongozi wake. Chonde chonde.
 
Wana Jf,

Maendeleo hayana chama ndio ninachoweza kusema kilichotokea kwenye mpira Leo

Shukrani kwa mheshimiwa Makonda pia kwa uhamasishaji,

Rais magufuli wengi walijaribu lakini yeye ameweza ,aliwekeza kwa kocha, matunda yanaonekana

Kuna watu waliombea tufungwe lakini tumeshinda Kama watanzania

Chuki kwa viongozi hazitujengi, Tupongeza yanapofanyika mema
Bwege wew tuone huko afcon kama utafanikiwa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mi nilidhani ni maombi ya walevi ili wanywe nusu bei, wakiongozwa na kiongozi wao huyu hapa...
usiendekariakoo-20190324-0001.jpeg
shaffihdauda_-20190324-0001.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom