ibby
JF-Expert Member
- Mar 20, 2017
- 415
- 585
Habar zenu wana JF ningependa kuwapongeza Taifa stars kwa kuweza kuongeza idadi ya timu 4 zilizofuzu kutoka East African Community na kuelekea huko Egypt kwa Michuano ya CAN2019 we so proud for u Tanzania ,,jana ilikua shangwe na vigeregere nchini (Burundi) baada ya timu yetu ya taifa Intamba Murugamba kuweza kutoka sare sare na timu ya Gabon Burundi ikaweza kuwa qualified kwenye CAN 2019 ..mwambieni Mr Slim azidi kubana mipaka sisi East Africa tunasonga mbele!![emoji120][emoji120][emoji120][emoji120] i' am so Proud with all of us Burundi,Kenya,Uganda,Tanzania, Mungu atubariki tufike mbali hukoo Egypt !!