Pombe sio chai,yani kajamaa uso umekunjana kama tonge la dona hahaa iyo nusu bei si itakafanya mbaya
Alicheza namba ngapi?...umenitokea kunikosha sana kuona Timu inacheza vizuri,
Wewe unafikiri ni kwanini tumeweza kushinda hii mechi, wakati wale tamaa wengine walitunyoosha, uganda akawanyoosha wote nje ndani.Uganda hata match ya kwanza tuliwakamata vizuri sana hasa kipindi cha pili. Hao tumewafunga vizuri tu hakuna kuachiwa hapa. Unafikiri hawataki record nzuri kwao?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani we jamaa katika huu uzi we ndio unaonekana mpumbavu. Hivi hujisikii aibu?Hata wakituachia goli 50 Uganda anaongoza kundi keshapita hana cha kupoteza after all ni majirani zetu nadhani unajua hata museveni siku tunacheza pale Kampala alisema hataki Uganda ishinde wala stars kwakua zote ni timu zake.hujapata picha tu
umenena vyema,wewe ni mzalendo wa ukweli! ,Tz is our home ,we deserve it!Ukweli tulipangiwa kundi jepesi, ingawa hatuwezi beza juhudi za serikali kupambana na waharibifu wa mpira walioko magerezani.
Hongera wachezaji na makocha,
Hongera TFF,
Hongera Rais wa TFF Wallace Karia,
Hongera Makamu wa Rais TFF Athumani Nyamlani,
Hongereni Watanzania wenzagu
Hamna lolote Uganda wameuza mechi hapo...Ongera sana raisi wangu, umenitokea kunikosha sana kuona Timu inacheza vizuri, mungu akupe maisha marefu john Joseph pombe magufuri, ongera ccm kwa kazi nzuri mlioifanya taifa mpaka tumeibuka na ushindi
Ongera sana raisi wangu, umenitokea kunikosha sana kuona Timu inacheza vizuri, mungu akupe maisha marefu john Joseph pombe magufuri, ongera ccm kwa kazi nzuri mlioifanya taifa mpaka tumeibuka na ushindi
Hongera.Ongera sana raisi wangu, umenitokea kunikosha sana kuona Timu inacheza vizuri, mungu akupe maisha marefu john Joseph pombe magufuri, ongera ccm kwa kazi nzuri mlioifanya taifa mpaka tumeibuka na ushindi
Mhhhh!!! Si kweli kama ni kuhonga basi tumewahonga na Lesotho, haikubaliki hata kidogo eti Uganda watubebe wakati huo huo matokeo yetu yalikuwa yanategemewa sana na Lesotho imekaaje ,na huko kwao walitufunga ngapi kiasi kwamba leo ionekane wametubeba? Basi kama ni wabebaji kweli wangetubeba toka mwanzo,mpira ni dakika 90 tukubali tu kwamba Leo timu yetu ilikuwa vizuri,na kwenye soka ndivyo ilivyo kwamba lolote laweza kutokea,mbona haya mambo yapo tu hata nje mara ngapi zile timu tunazozijua zina uwezo mzuri inatokea wanacheza hovyo mpka unashangaa.Lesotho ilikula kwao, hana ujirani mwema na mwenzake. Twende mbele turudi nyuma Uganda wametumia ujirani mwema, hawakuwa wanapoteza kitu. Na wangetufunga tungewachukia na kuwatukana milele.
Nashukuru tumeshida.ila sisi sio kama mpira hatuujui ila tatizo bei ya bia.