Baada ya miaka 39, Taifa Stars yafuzu kucheza michuano ya AFCON 2019 baada ya uicharaza Uganda goli 3-0, Uwanja wa Taifa-Dar

Baada ya miaka 39, Taifa Stars yafuzu kucheza michuano ya AFCON 2019 baada ya uicharaza Uganda goli 3-0, Uwanja wa Taifa-Dar

FB_IMG_15534509003155133.jpeg
mwingine huyo mtafute mpongezane

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uganda hata match ya kwanza tuliwakamata vizuri sana hasa kipindi cha pili. Hao tumewafunga vizuri tu hakuna kuachiwa hapa. Unafikiri hawataki record nzuri kwao?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unafikiri ni kwanini tumeweza kushinda hii mechi, wakati wale tamaa wengine walitunyoosha, uganda akawanyoosha wote nje ndani.
1. Mh Makonda kutuamsha hata mm niliekuwa sifuatilii mpira ila zile clips alizokuwa anatoa zikanifanya leo niwe na taifa stars
2. Bei ya bia.
 
Hata wakituachia goli 50 Uganda anaongoza kundi keshapita hana cha kupoteza after all ni majirani zetu nadhani unajua hata museveni siku tunacheza pale Kampala alisema hataki Uganda ishinde wala stars kwakua zote ni timu zake.hujapata picha tu
Yaani we jamaa katika huu uzi we ndio unaonekana mpumbavu. Hivi hujisikii aibu?

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Ukweli tulipangiwa kundi jepesi, ingawa hatuwezi beza juhudi za serikali kupambana na waharibifu wa mpira walioko magerezani.
Hongera wachezaji na makocha,
Hongera TFF,
Hongera Rais wa TFF Wallace Karia,
Hongera Makamu wa Rais TFF Athumani Nyamlani,
Hongereni Watanzania wenzagu
umenena vyema,wewe ni mzalendo wa ukweli! ,Tz is our home ,we deserve it!
 
Duh haya sasa wanasiasa wameingia baadae kuelekea uchaguzi mkuu wanaweza kuitumia stars kwenye kampeni zao
 
Sasa watu kibao wataibuka kujidai wamechangia mafanikio ya Stars
 
Timu za kufuzu zimeongezwa, group tulilopangwa ni jepesi. Mimi nawapongeza CAF, na wala si mtu mwingine
 
Lesotho ilikula kwao, hana ujirani mwema na mwenzake. Twende mbele turudi nyuma Uganda wametumia ujirani mwema, hawakuwa wanapoteza kitu. Na wangetufunga tungewachukia na kuwatukana milele.
Nashukuru tumeshida.ila sisi sio kama mpira hatuujui ila tatizo bei ya bia.
Mhhhh!!! Si kweli kama ni kuhonga basi tumewahonga na Lesotho, haikubaliki hata kidogo eti Uganda watubebe wakati huo huo matokeo yetu yalikuwa yanategemewa sana na Lesotho imekaaje ,na huko kwao walitufunga ngapi kiasi kwamba leo ionekane wametubeba? Basi kama ni wabebaji kweli wangetubeba toka mwanzo,mpira ni dakika 90 tukubali tu kwamba Leo timu yetu ilikuwa vizuri,na kwenye soka ndivyo ilivyo kwamba lolote laweza kutokea,mbona haya mambo yapo tu hata nje mara ngapi zile timu tunazozijua zina uwezo mzuri inatokea wanacheza hovyo mpka unashangaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom