Baada ya miaka 39, Taifa Stars yafuzu kucheza michuano ya AFCON 2019 baada ya uicharaza Uganda goli 3-0, Uwanja wa Taifa-Dar

Tumebebwa na waganda, pia CAF iliongeza nafasi za ushiriki AFCON
 
Upumbavu ulioandika siku ingine umiza kichwa nyumbu we. Yaani wana chadema wasipongezwe lisu amepona kwa kuwa tu wanachadema sio madaktari waliomfanyia operesheni? Mh. Rais alihamasisha sana hii timu ifuzu.
 
No saw a na kumpaka demu mkorogo ili apendeze
Upumbavu ulioandika siku ingine umiza kichwa nyumbu we. Yaani wana chadema wasipongezwe lisu amepona kwa kuwa tu wanachadema sio madaktari waliomfanyia operesheni? Mh. Rais alihamasisha sana hii timu ifuzu.
Dogo! ulevi wa bia za Bure usikutoe akili, tumebebwa na waganda tu.
 
Sishangai hii nchi kuwa na wstu wajinga wspumbavuu na vilaza kama wewe. Hivi wewe mpaka hapa hauoni mkono wa serikali hadi hspo ilipofika. Haujiulizi ni kwanini hamasa hii iwepo sasa na sio kipindi cha nyuma.

Magufuli ana watendaji wake, waondio amewapa dhamana kusimamia michezo kwa niaba ma maelekezo yake.

Magufuli alikutana na wachezaji stars kuwatia hamasa.

Magufuli kaonfoa ubabaisha TFF na ndio maana skina Malinzi, Eambura na wengine wako ndani.

Hizo ni baadhi tu ya hatua alizochukua hadi kufika hapo tulipo leo.

Sass wewe kilaza kila kitu unawaza kiufipa tu ndio masna unaona hakuna mchango wa rais.
 
Okwi huyu huyu wa Simba FC au wa mwabepande?

Okwi umri ushamtupa mikono kitambo tu maana sasa hivi akili inataka kucheza mpira lakini mwili haukubali kuchukua maamuzi ya hapo hapo tokana na kupungukiwa nguvu alizokuwa nazo miaka mitano nyuma.
Asante Uganda kwa kutambua ujirani mwema mana ata okwi sioyule tuliyemzoea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pongezi za dhati zimuendee JPM na Makonda kwa kufanikisha TZ kuingia AFCON
 
Tuliambiwa huyo jamaa hajawahi kufanikiwa kwenye chochote I guess hili la kwanza.Motisha kwa wachezaji ni kitu kikubwa pia tuone kama hiyo kamati itatoa hiyo 10M kwa kila mchezaji

10 Million kabla ya kukatwa kodi
Zawadi Pia Ni taxable
 
Acha wavunje tu kwani tff wamezidi wizi haowezekani ukatie watu tiketi halafu useme ndani kumejaa, kwanini uuze tiketi zaidi ya uwezo wa uwanja?
 
Kwa jinsi Wachezaji walivyo, Taifa stars hawana genes za kuingia AfCON.
Lakini, Nakumbuka Jiwe, Aliwatema biti hawa Taifa stars wanapewa hela ya kujenga Timu wanapewa marupurupu kibao, kisha wanaenda kuuza Sura. Wanaishia kufungwa na timu zingine.
Wabongo wameanza kuogopa kuchezea hela ya Bwana Mkubwa kizembezembe. Biti linasaidia sana. Daadeki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inabidi twende tukajifunze kwani Mpira wa kiafrica hautofautiani sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CAF wameongeza timu za kushirik AFCON ndo mana tumepita wengi, mbona huyo mtu wako alivyopiga bit ndo tukaenda kufungwa, punguzen kulamba ndala za watawala
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…