Baada ya miaka 39, Taifa Stars yafuzu kucheza michuano ya AFCON 2019 baada ya uicharaza Uganda goli 3-0, Uwanja wa Taifa-Dar

Tuliambiwa huyo jamaa hajawahi kufanikiwa kwenye chochote I guess hili la kwanza.Motisha kwa wachezaji ni kitu kikubwa pia tuone kama hiyo kamati itatoa hiyo 10M kwa kila mchezaji
Ushindi huo tumepewa mkuu, Uganda uyu limpiga cape Verde nje ndanj na cape Verde yuko juu sana yetu,

Bashite huyu hatafanikiwa kitu asilani, juzi tu alisema kila mfanyabiashara awe na kitambulisho kisha amepotezea since then. Na hakuna kinachoendelea till now

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Washangiliaji na kamati ya ufundi hoyee.
 
Kama huwezi jua kuwa Rais anahusikaje hapo basi utakuwa na tatizo kubwa sana kwenye Ubongo wako wa kati Mkuu.
Timu yenyewe inaitwa Taifa stars jiulize ni Taifa lipi na Kiongozi wa hilo Taifa ni nani?
Hata kama ungekuwa wewe ndiye Rais tungekupongeza pia, acha wivu na Uchama uliokosa muelekeo.
 
Badala ya kuwasifu vijana waliocheza unamsifu makonda, kafunga mangapi kwani?
 
Umesahau alichangia 50m wewe umechangia nn mpaka ukereke?
Ondoa huu uharo wako bora hata JK kuliko JPM kwa upande wa Soccer alijitolea hadi kumlipa kocha kutoka brazil inafika wakati watoto wa kiume tuache unafki
 
Mi nasema wacha Magufuli ahusike tu na huu ushindi. Nasubiri pia kule Misri watakapobugizwa migoli nako wamhusishe. Wasimuweke kando.
 
Mnashindwa kumpongeza coach mnampongeza Makonda wakati kazi ngumu kafanya kocha ndio amewandaa kisaikolojia, ndio anajua wamekula nini kila siku kambini, ndio anajua wamelala vipi, ndio anahangaika nao mazoezini kwenye jua Kali lakini mmeona Makonda ndio wa kupongezwa Kwa sababu anaonekana kwenye TV na kuwaahidi mashabiki kunywa bure.
Hii nchi hapo ndio huwa tunakosea wapo watu wengi wanafanya kazi nzuri lakini wanaopata sifa ni wanasiasa wale wataalam waliofanya hiyo kazi hata kujulikana hawajulikani.
 
ac
acheni kuongea maneno ya ajabu ajabu kama kina Juma lokole, ni encouragement gani unayoizungumzia wewe??

ulisahau Marcio Maximo alikua analipwa mshahara na Ikulu? what happened??

usitake tuongee sana watu bado tunamtafakari maalim Seif
 

asset kwa mkewe pamoja babako na mamako (in Kibonde’s voice RIP brother)
 
Kàfunga magoli mangapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
 

mpuuzi wewe
 
Unamfunga maiti unasema unajua mpira? Uganda haina mpira wa kujivunia kuwa nimemfunga fulani! Nenda West /North Africa then, nitasema kuna improvement kwente timu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…