Baada ya miaka 39, Taifa Stars yafuzu kucheza michuano ya AFCON 2019 baada ya uicharaza Uganda goli 3-0, Uwanja wa Taifa-Dar

March 24, 2019
Dar es Salaam, Tanzania

Influenza,
c.c Moderator

Live AFCON match : Tanzania vs Uganda

Source : Haroub TV
 
Unaombea mwenzako ashindwe ili wewe upite.
Huu ni ushirikina tosha
 
Eti okwi anafika mpaka golini halafu anapiga nje haahahahahah
 
Hamtaki kuambiwa ukweli kiwango cha Uganda nakifahamu wanafanya makosa ya makusudi kabisa ili stars ifunge magoli we kipofu nini
Ukipofu Wangu Ni Kutokana Na Mapenzi Juu Ya Nchi Yangu! Kufuzu Kwetu Kutasaidia Mambo Mengi Tu!
Hasa Hawa Vijana Waliochokua Mpira Kama Ajira Zao!

Uganda Watuachie, Wasituachie! Ila Kua Mtanzania Kwa Dakika Moja Haitakudhuru!
 
Waganda mtashtukiwa sasa daah.mnatuachia sanaa
 
Ukipofu Wangu Ni Kutokana Na Mapenzi Juu Ya Nchi Yangu! Kufuzu Kwetu Kutasaidia Mambo Mengi Tu!
Hasa Hawa Vijana Waliochokua Mpira Kama Ajira Zao!

Uganda Watuachie, Wasituachie! Ila Kua Mtanzania Kwa Dakika Moja Haitakudhuru!
Sasa tutaachiwa mpaka lini?
 
Ila jamani udumu udugu wa afrika mashariki.hili goli Denis onyango ametupa zawadi bureeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…