Mshuza2
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 11,261
- 17,202
No kwamba huamini kwamba tumeshinda kihalali? Halafu ni FIFA au CAF?FIFA lazima wachunguze hii match mtaniambia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No kwamba huamini kwamba tumeshinda kihalali? Halafu ni FIFA au CAF?FIFA lazima wachunguze hii match mtaniambia
Hahahaha mkuu vipi 😂😂😂
Umekaa kwa wapi swahibaWoyooooooo [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Sent using Beretta ARX 160
Nakwambia. Hiki siyo kiwango cha Uganda
Wakaze basi tuone,kwani kwao walitufunga ngapi mpka huku wasikaze!Uganda hawajakaza.hauoni
Nina imani haitakuwa hivyoNakwambia. Hiki siyo kiwango cha Uganda
Jamani nawakumbusha kutokana na kwamba pombe zitakuwa nusu bei,chonde chonde najua leo furaha itawafanya mrelax na kusahau kama kuna UKIMWI. Hivyo nawakumbusha mtumie Condom jamani.
Leo tunalewaHahahaha mkuu vipi 😂😂😂
Jamani wachezaji wetu walihitaji umma tu,hakika nawaapia tungekuwa nao tokea mwanzo.Basi nawaapia tungekuwa tunaongoza hili kundi.
Anaongoza goli moja
Hawataki kuamini kwamba kama UG ni wababe wamekutana na wababe waliowazidi Mbinu.Wakaze basi tuone,kwani kwao walitufunga ngapi mpka huku wasikaze!
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ufaraAnaongoza goli moja