Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,283
Duh! kitambo !atakuwa sio mwenzetu huyoWeeeee jamaa wewe siyo bure utakuwa Mganda!!! Acha kuwapa watu presha
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh! kitambo !atakuwa sio mwenzetu huyoWeeeee jamaa wewe siyo bure utakuwa Mganda!!! Acha kuwapa watu presha
Sent using Jamii Forums mobile app
Misri itakuwa mchana kweupe, yangu macho [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]mimi ni mshabiki wa starz.. ila najua waganda wametuachia ujirani mwema.. timu hatuna
Inatakiwa ibaki hivyo hivyo
SitakiiiNimesema tunalewa sio unalewa
Niko bar, television ukutani, nchi 55 inavyoonekana
Uwanja unaonekana kwa mbaliiiii...
Vichezaji vinaonekana kwa mbaliiiiii!
Ikipigwa kona huoni kama imedakwa, imetemwa, imeingia, unasikilizia kelele za uwanjani ndio uelewe
Hivi tatizo ni camera za grade ya chini au ni vipi?
Tukiangalia mechi za Ulaya mbona tunaona uwanja kwa karibu?
FIFA lazima wachunguze hii match mtaniambia
Kama ni kwenda kusafisha nyota hapo sawa, sio kwenda kushindanaUko sahihi! Lesotho naomba wasipate goli hadi mwisho ili Tz twende huko kwa mafarao Afcon tusafishe nyota
Wakaze basi tuone,kwani kwao walitufunga ngapi mpka huku wasikaze!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye app yako wameiondoa haipo mkuuMbona ZBC2 ipo?
Acha ulalamishi..!
Ungewaeleza tbcssm waonyeshe live
Sent using Jamii Forums mobile app
Uganda we😛Sitakiii
Mnataka wapae ndo mjue wanacheza? Mpira ndivyo ulivyo ndo maana tunasema dk 90 zinaongea,kwenye mpira chochote chaweza kutokea,imewakilia vibaya tu hakuna kubebwa wala niniHii mechi inaonekana laivu kuna dili limepangwa. Uganda wanavyocheza sio kabisa
Subiri watakukazaWakaze basi tuone,kwani kwao walitufunga ngapi mpka huku wasikaze!
Sent using Jamii Forums mobile app