Baada ya miaka 39, Taifa Stars yafuzu kucheza michuano ya AFCON 2019 baada ya uicharaza Uganda goli 3-0, Uwanja wa Taifa-Dar

Baada ya miaka 39, Taifa Stars yafuzu kucheza michuano ya AFCON 2019 baada ya uicharaza Uganda goli 3-0, Uwanja wa Taifa-Dar

Hii mechi inaonekana laivu kuna dili limepangwa. Uganda wanavyocheza sio kabisa
 
Jamani wa kolomije tunapata wapi bia za jeroooooo tumeshawalazaaa
 
Weka miwani Mkuu labda itasaidia 😎

Niko bar, television ukutani, nchi 55 inavyoonekana

Uwanja unaonekana kwa mbaliiiii...

Vichezaji vinaonekana kwa mbaliiiiii!

Ikipigwa kona huoni kama imedakwa, imetemwa, imeingia, unasikilizia kelele za uwanjani ndio uelewe

Hivi tatizo ni camera za grade ya chini au ni vipi?

Tukiangalia mechi za Ulaya mbona tunaona uwanja kwa karibu?
 
Hata wakituachia goli 50 Uganda anaongoza kundi keshapita hana cha kupoteza after all ni majirani zetu nadhani unajua hata museveni siku tunacheza pale Kampala alisema hataki Uganda ishinde wala stars kwakua zote ni timu zake.hujapata picha tu
Wakaze basi tuone,kwani kwao walitufunga ngapi mpka huku wasikaze!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom