Baada ya miaka 39, Taifa Stars yafuzu kucheza michuano ya AFCON 2019 baada ya uicharaza Uganda goli 3-0, Uwanja wa Taifa-Dar

Baada ya miaka 39, Taifa Stars yafuzu kucheza michuano ya AFCON 2019 baada ya uicharaza Uganda goli 3-0, Uwanja wa Taifa-Dar

Wana Jf,

Maendeleo hayana chama ndio ninachoweza kusema kilichotokea kwenye mpira Leo

Shukrani kwa mheshimiwa Makonda pia kwa uhamasishaji,

Rais magufuli wengi walijaribu lakini yeye ameweza ,aliwekeza kwa kocha, matunda yanaonekana

Kuna watu waliombea tufungwe lakini tumeshinda Kama watanzania

Chuki kwa viongozi hazitujengi, Tupongeza yanapofanyika mema
2019-03-23_09.23.42.jpg
 
Angalau anasa inarejea jijini dar baada ya miaka minne ya kuheshimiana,beer nusu bei na kesho wachezaji wanamwagiwa zaidi ya milioni 180.
 
Back
Top Bottom