Baada ya miaka 39, Taifa Stars yafuzu kucheza michuano ya AFCON 2019 baada ya uicharaza Uganda goli 3-0, Uwanja wa Taifa-Dar

Baada ya miaka 39, Taifa Stars yafuzu kucheza michuano ya AFCON 2019 baada ya uicharaza Uganda goli 3-0, Uwanja wa Taifa-Dar

Lesothi kapambana ila ngoma imekataaa, ila kwetu ni tofauti,
Lesotho hali ilikuwa tete kwa mujibu wa statistics
1553447997628_InstaSaver.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ongera sana raisi wangu, umenitokea kunikosha sana kuona Timu inacheza vizuri, mungu akupe maisha marefu john Joseph pombe magufuri, ongera ccm kwa kazi nzuri mlioifanya taifa mpaka tumeibuka na ushindi
 
Mkuu kanywe sumu

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Ntakunywa sumu kuvipi wakati kuna discount ya bia wewe ndo kanywe sumu.
 
Kwahiyo na Lesotho nao tuliwapanga!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Lesotho ilikula kwao, hana ujirani mwema na mwenzake. Twende mbele turudi nyuma Uganda wametumia ujirani mwema, hawakuwa wanapoteza kitu. Na wangetufunga tungewachukia na kuwatukana milele.
Nashukuru tumeshida.ila sisi sio kama mpira hatuujui ila tatizo bei ya bia.
 
Shukurani Zote Ziende Kwa Timu Yangu Pendwa ya SIMBA SC iliyoanzisha Mkakati wa "Do or Die" inapokuwa kwa Mchina na Kushinda ni Lazima.

Leo Taifa Stars wameamua Kufuata Nyayo za Mnyama kwa Kushinda Kwa Mchina.

Sasa tunawasubiri na Wale [emoji196] [emoji196][emoji196] wa pale Madimbwini nawao wafuate Nyayo zetu za "Do or Die" pale kwa Mchina.

Nawasilisha
Vyura wamenuna ila ndio ukweli huu
 
Lesotho ilikula kwao, hana ujirani mwema na mwenzake. Twende mbele turudi nyuma Uganda wametumia ujirani mwema, hawakuwa wanapoteza kitu. Na wangetufunga tungewachukia na kuwatukana milele.
Nashukuru tumeshida.ila sisi sio kama mpira hatuujui ila tatizo bei ya bia.
Uganda hata match ya kwanza tuliwakamata vizuri sana hasa kipindi cha pili. Hao tumewafunga vizuri tu hakuna kuachiwa hapa. Unafikiri hawataki record nzuri kwao?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli tulipangiwa kundi jepesi, ingawa hatuwezi beza juhudi za serikali kupambana na waharibifu wa mpira walioko magerezani.
Hongera wachezaji na makocha,
Hongera TFF,
Hongera Rais wa TFF Wallace Karia,
Hongera Makamu wa Rais TFF Athumani Nyamlani,
Hongereni Watanzania wenzagu
 
Back
Top Bottom