Shigganza
Senior Member
- May 24, 2018
- 160
- 412
Kaz yake haikuwa kucheza, unafuatilia mpira lakin au umevamia fani
Kati ya magoli 3, huyo Makonda wako amefunga mangapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kati ya magoli 3, huyo Makonda wako amefunga mangapi?
Wewe na yeye akili haswa kwa akili yako makonda kafanya nini..?Ushindi wa goli 3 kwa 0 ilioupata timu ya taifa stars leo dhidi ya Uganda na hivyo kufuzu fainali za kombe la mataifa ya Nchi za African@ AFCON zitakazochezwa Misri mwezi June mwaka huu ni uthibitisho mwingine kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam mh Paul Makonda ni hadhina kwa taifa kwenye upangaji na usimamizi wa masuala ya kitaifa.
kwa faida ya wengi ni kwamba Mh Makonda alikuwa Mwenyekiti wa kamati ya kuiwezesha taifa stars kufuzu AFCON 2019 ambapo pamoja na mambo mengine ilikuwa na jukumu la kushirikiana na Uongozi wa timu kubuni mbinu na mikakati ya kiufundi ndani na nje ya uwanja, bila shaka kwa matokeo yaliyopatikana inahitaji kiburi na husuda na wivu kupinga kwamba hajafanikiwa.
Jukumu lingine kubwa lilikuwa ni kuhamasisha Watanzania kujitokeza kwa wingi uwanjani kuishangilia timu ili kuwapa nguvu na hamasa wachezaji ya kupambana na kushinda. Katika hili la kuhamisha watu kujitokeza tumpe Kongole Makonda kwa niaba ya kamati aliweza kuwaunganisha watu maarufu kutoka tasnia za muziki, filamu, wanamitindo, wanasiasa na kuwaomba kutumia vyombo vya habari ikiwemo mitandao ya kijamii kuhamisha wananchi na matokeo yake yameonekana uwanja ulijaa yaani zaidi ya watu 60,000 walikuwepo taifa.
Kwa kurejea baadhi ya mambo mengine mengi ambayo mhe Makonda amewahi
## kufanikisha kama kusaidia Walimu katika Mkoa wa Dar es salaam kupanda daladala bure,
## kufanikisha upatikanaji wa bima za afya @ toto kadi kwa mamia ya watoto ambao wametelekezwa na wazaz.
## kuwapatia viatu bandia walemavu, kuchangia matibabu ya wagonjwa mbalimbali nje ya Nchi.
## kusikiliza na kutatua kero mbalimbali za wananchi zinazohusu ardhi na kuwasaidia wakina mama hasa wajane waliodhurumiwa Nyumba na mashamba.
## kupanua huduma za kijamii kama vile ujenzi wa hospital Temeke, shule za sekondari na Msingi hivyo kuwawezesha wananchi na wanafunzi wengi kupata huduma.
Makonda ni binadamu pamoja na mafanikio hayo Lukuki aliyofanya katika kipindi kifupi ambacho amekuwa mkuu wa Mkoa yaweza kuwa kuna mapungufu ya hapa na pale amefanya lakini hayaondoi ukweli kwamba amejitanabaisha kuwa ni asset kwa taifa letu.
Serena hotel nasikia kweli wameshusha ½ bei kweliNaombeni location tu ya beer ziliposhushwa bei [emoji134][emoji134]
Lokesheni ya machimbo ya ½ bei??
Naombeni location tu ya beer ziliposhushwa bei [emoji134][emoji134]
Hizi ni kama million 50Hivi huwa mnatumwa, kujipendekeza tu au asante ya hizo serengeti za 1000/ mlizoahidiwa?
kwani wakati Cape Verde inafungwa huyo alikuwepo wapi??
kuelewa hili mpaka ujivue uchawi wa ufipa na roho mbayakamati kwani ilicheza?