Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Pambaff hilo limejifunzia kiswahili ukubwani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pambaff hilo limejifunzia kiswahili ukubwani.
Sikwenda uwanjani kwa sababu mazingira yote yalionesha tunashinda mechi, hata kama possibility ya kufuzu ilitegemea mechi ya Cape Verde na Lesotho. Nilijua hakutakuwa na ushindani wowote.Mechi ilipangwa, waganda walikuwa hawana cha kupoteza, Museven mwenyewe mechi ya kwanza alifurahi kwa droo na kusema timu zote ni za nyumbani. Ingekuwa kwenya ungejua ujirani ukoje.
Mm naioenda stars ila natokeo yetu ni ya ujirani mwema.
Alitoa milioni 5 mbona hatukuona matunda badala yake ikapigwa, jana yenyewe amekiri aliogopa kwenda uwanjani maana hakutarajia. Pongezi ziwaendee vijana kwa juhudi zao pamoja na kocha wao. Wameona mpira unalipa ukijionyesha kwenye mashindano makubwa kama hayo. Huu ndio wakati wa kujiuza kwa timu kubwa za njeNakereka sana kila naposikia kila kiongozi anazungumza kuhusu hii mechi ya Taifa stars na Uganda akinza kwa kumpongeza rais wetu mpendwa Magufuli.
Nachojiuliza Magufuli anapewa pongezi ya kazi gani? Kati ya Magufuli na mashabiki na wachezaji ni nani wa kwanza kupewa pongezi?
Huu ni ujinga wapeni pongezi wachezaji na mashabiki kwa kufika na kucheza vizuri Magufuli hana hata chembe ya pongezi kwenye mchezo huu... Bora hata Makonda alikua kwenye kamati na kiki zake za msimu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo makonda asingeongea kitu tanzania isingefuzu.?Ovious miaka 39 watu wamepambana hawajaweza, tuache wivu wa kutowapongeza wenzetu wanapofanya vzr
Issue ilikuwa ni kushinda mechi ya Dar, kufuzu ilitegemea mechi ya CV vs Lesotho. Kushinda Dar nilijua tutashinda hilo halikuwa tatizo kwangu.Mhhhh!!! Si kweli kama ni kuhonga basi tumewahonga na Lesotho, haikubaliki hata kidogo eti Uganda watubebe wakati huo huo matokeo yetu yalikuwa yanategemewa sana na Lesotho imekaaje ,na huko kwao walitufunga ngapi kiasi kwamba leo ionekane wametubeba? Basi kama ni wabebaji kweli wangetubeba toka mwanzo,mpira ni dakika 90 tukubali tu kwamba Leo timu yetu ilikuwa vizuri,na kwenye soka ndivyo ilivyo kwamba lolote laweza kutokea,mbona haya mambo yapo tu hata nje mara ngapi zile timu tunazozijua zina uwezo mzuri inatokea wanacheza hovyo mpka unashangaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kauli yako ina maanisha nn? [emoji116][emoji116]Mkiwa na kiongozi mkuu ambaye hataki siasa anataka kazi tu ,mambo yote hubadilika kutoka juu mpaka chini ,tofauti na tulivyokuwa tunaaminishwa na baadhi ya wasomi hasa chadema kwamba rais hata akiwa mwizi ,mvivu mzururaji mambo yataenda tu kisa eti urais ni taasisi?
Asante Taifa stars, Simba na bondia Mwakinyo
Asante kasi ya Rais Magufuli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwakua wameshinda sio?,wangepoteza mechi zigo la misumali angebebeshwa Makonda sio!,"pathetic"Hongera zote kwa 100% ziwaendee Wachezaji hasa walofunga magoli bila kumsahau Kocha wao......!
Hizi hongera kwa Makonda ni UNAFIKI,UBAZAZI na kutaka Wanasiasa KUJITAFUTIA UMAARUFU usio na tija kwa Taifa na sanasana ni kuwagawa Watz.
CCM acheni hizi cheap politics.....mmezidi sana.Akifa mtu au ikishinda timu mnatumia kujitangaza..!Pambaf zenyu.
Pambe lao hiloIla wewe una matusi sana kama ya mlevi,sijui kwanini huwa hupigwi ban.Basi tu,inaweza kuwa wewe ndio wale ma-greti sinkazi (not thinkers)
Sent using Jamii Forums mobile app
We chawi tyuu!Kamsikilize Chief Coach wa Uganda..alisema wachezaji wake hawakuwa motivated baada ya kuwa walishaqualified.. Bashite hatabaki kuwa Zero..
HII NI KWA HISANI YA BASHITE.Ushindi wa goli 3 kwa 0 ilioupata timu ya taifa stars leo dhidi ya Uganda na hivyo kufuzu fainali za kombe la mataifa ya Nchi za African@ AFCON zitakazochezwa Misri mwezi June mwaka huu ni uthibitisho mwingine kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam mh Paul Makonda ni hadhina kwa taifa kwenye upangaji na usimamizi wa masuala ya kitaifa.
kwa faida ya wengi ni kwamba Mh Makonda alikuwa Mwenyekiti wa kamati ya kuiwezesha taifa stars kufuzu AFCON 2019 ambapo pamoja na mambo mengine ilikuwa na jukumu la kushirikiana na Uongozi wa timu kubuni mbinu na mikakati ya kiufundi ndani na nje ya uwanja, bila shaka kwa matokeo yaliyopatikana inahitaji kiburi na husuda na wivu kupinga kwamba hajafanikiwa.
Jukumu lingine kubwa lilikuwa ni kuhamasisha Watanzania kujitokeza kwa wingi uwanjani kuishangilia timu ili kuwapa nguvu na hamasa wachezaji ya kupambana na kushinda. Katika hili la kuhamisha watu kujitokeza tumpe Kongole Makonda kwa niaba ya kamati aliweza kuwaunganisha watu maarufu kutoka tasnia za muziki, filamu, wanamitindo, wanasiasa na kuwaomba kutumia vyombo vya habari ikiwemo mitandao ya kijamii kuhamisha wananchi na matokeo yake yameonekana uwanja ulijaa yaani zaidi ya watu 60,000 walikuwepo taifa.
Kwa kurejea baadhi ya mambo mengine mengi ambayo mhe Makonda amewahi kufanya;-
## kufanikisha kama kusaidia Walimu katika Mkoa wa Dar es salaam kupanda daladala bure,
## kufanikisha upatikanaji wa bima za afya @ toto kadi kwa mamia ya watoto ambao wametelekezwa na wazaz.
## kuwapatia viatu bandia walemavu, kuchangia matibabu ya wagonjwa mbalimbali nje ya Nchi.
## kusikiliza na kutatua kero mbalimbali za wananchi zinazohusu ardhi na kuwasaidia wakina mama hasa wajane waliodhurumiwa Nyumba na mashamba.
## kupanua huduma za kijamii kama vile ujenzi wa hospital Temeke, shule za sekondari na Msingi hivyo kuwawezesha wananchi na wanafunzi wengi kupata huduma.
Makonda ni binadamu pamoja na mafanikio hayo Lukuki aliyofanya katika kipindi kifupi ambacho amekuwa mkuu wa Mkoa yaweza kuwa kuna mapungufu ya hapa na pale amefanya lakini hayaondoi ukweli kwamba amejitanabaisha kuwa ni asset kwa taifa letu.
Sawa Mganda ,nimekusomaHongera hizo si kwa Makonda au mpenda sifa mwingine yeyote bali ni kwa wachezaji na kocha wao tu kwa jitihada zao zilizoiletea Tanzania sifa kubwa. We are all proud of them. Waganda walicheza kukamilisha ratiba walikuwa wameshafuzu. Kaeni chonjo mtakutana nao Misri bila wapenda sifa.
bado hujasemaUshindi huo tumepewa mkuu, Uganda uyu limpiga cape Verde nje ndanj na cape Verde yuko juu sana yetu,
Bashite huyu hatafanikiwa kitu asilani, juzi tu alisema kila mfanyabiashara awe na kitambulisho kisha amepotezea since then. Na hakuna kinachoendelea till now
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnajigawa wenyewe,acha ujingaHata ungepewa wewe jukumu lile la kuhamasisha ungeshindwa?
Funzo kwa maccm Magufuli akiwa muungwana Taifa linaweza kusimama pamoja kama jana, aache kuwagawa Watanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app