Baada ya miaka mitano ijayo namwona John Heche mbali sana kwenye siasa za Tanzania

Ukimwondoa Lissu, Heche ndiyo habari ya mjini, Mwamba so far alama zake zinazidi kishuka siku hadi siku.
Yapu vzr kuelezea matatizo ya watu
 
Je mikono ya watekaji,wauaji,wakandamizaji na wanyanyasaji itakuwa imekatwa wakati huo?Na je mkataji atakuwa huyu huyu ama mwingineee?
 
Je mikono ya watekaji,wauaji,wakandamizaji na wanyanyasaji itakuwa imekatwa wakati huo?Na je mkataji atakuwa huyu huyu ama mwingineee?
Watakuwa wote wameenda kuzimu
 
Mtu yeyote atakayezungumza dhidi ya CCM lazima atasikilizwa. CCM ndio chama kilichopo madarakani, hakiwezi kukwepa lawama kwa tatizo lolote linalomkumba mwananchi
 
Mtu yeyote atakayezungumza dhidi ya CCM lazima atasikilizwa. CCM ndio chama kilichopo madarakani, hakiwezi kukwepa lawama kwa tatizo lolote linalomkumba mwananchi
Sio lawama tu , ndo matendo yao ya uovu, kuua, kuteka, mbona hawakatai wapo kimya
 
Soma vzr ujumbe
AAaaaaAAA; nami nasisitiza ujibu swali hilo zuri.
Sioni ugumu wowote wa kulijibu, mkuu 'Gabeji'.
Mada yako ni nzuri, lakini sijui ni nini kilichokufanya uweke hiyo miaka mitano.
Na wala usifikiri kuwa hapa tunaweka 'mpambano' na yeyote ndani ya chama. Hao viongozi wawili wa juu wanaendana vizuri sana.
 
Atafika mbali kama ataacha tamaa iliyompoteza Zitto.
Kuongea kwa kufoka foka Haina maana mtu ni kiongozi Bora,,kiongozi Bora aliebaki chadema ni mnyika na bon YAI na kidogo Amani gulungwa,
Hawa wengine wa kutoka foka hamna kitu hawatofautiana na wale wachungaji wa kilokole,wanaofoka foka kwa sauti Nene Kama Ja lue au Shaba ranks
 
Unayo matatizo yako yasiyo na tiba.
Huoni hoja zozote, unaona "kufoka" tu!

Ndiyo, hao wote ulio wataja ni viongozi wazuri, ambao kwa sasa hivi ndani ya CCM hakuna mfano wao. CUF kuna nani, ACT, nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…