Baada ya miaka mitano ijayo namwona John Heche mbali sana kwenye siasa za Tanzania

Kuongea kwa kutemea mate mike ndio kuwa na hoja? Mimi nimesoma na kukaa nae miaka minne. Ni opportunist mzuri sana. Hana lolote.
 
Nilianza kufahamu john heche kipindi anaomba uwenyekiti bavicha taifa,mbowe alitaka kumfanyia figisu achomoe jina lake,wakulya wakachachaamaa,mwishoni akaibuka kuwa mwenyekiti bavicha taifa,na nikili wazi kuwa kati ya wenyeviti wa babicha taifa aliyelisimsmia baraka kwa weledi na ustadi mkubwa ni huyi john heche,kidogo na pambalu,..
 
ana khulka za kidikteta, hilo ndio tatizo lake kubwa
 
Anaongoza chama katika wakati mgumu sana and so far he’s prevailing!

Nilifanikiwa kuonana nae live/kumuona live kipindi kile wanakaribia uchaguzi wao.. Waliingia mahali na gari yao wakakaa kwenye gari bila kushuka for almost 45 minutes… baadae wakashuka na kuendelea na taratibu zao. He was very tired! These people are fighters.

Prayers to them all, tusisahau kuchangia Chama. Hawa wanafanya kazi ya kitume kabisa.
 
Unasumbuliwa na mihemko ,huyo extremist ataishia kama Lisu tuu.
 
Unayo matatizo yako yasiyo na tiba.
Huoni hoja zozote, unaona "kufoka" tu!

Ndiyo, hao wote ulio wataja ni viongozi wazuri, ambao kwa sasa hivi ndani ya CCM hakuna mfano wao. CUF kuna nani, ACT, nani?
Kwa upinzani,hakuna mwanasiasa makini Kama zito kabwe
 
Heche hafiki popote. Mark this post.

Heche ni MROPOKAJI kama Tundu tu halafu ni mwanaharakati. Wanaofanikiwa kwenye siasa ni watu wenye hekima tu na wenye utulivu wa ubongo.

Ukimfuatikia Twitter ndiyo utajuwa hamna kitu pale. Yeye ana tweet kila upuuzi anao uokota kwenye social media. Hii ni dalili kuwa hana mikakati ya uongozi wa chama
 
Acha uwivu wako mkuu,
 
YOu are right
 
Haters never end ........Ni swala la zamu tu ndio linakufanya uwaze hivyo Ndugu Stuxnet.

Miaka michache tu iliyopita tulikuwa tunawaza mamoja.

Hongereni
 
Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…