Mkuu, ww utakuwa ni sehemu ya watekaji, mtu kusema ukweli ni kuropaka? No reforms No electionWewe ndio subiria ila sisi tunaojua kutambua watu ndio tunakwamba ataishia kuwa kama Lisu.
Mbaya zaidi Huwa anaropoka kama alivyosema msajili afute Chadomo hawatafanya kitu
Leo hii anasema anaenda mahakamani kudai ruzuku na ametii amri πππππ
Wote hao ni viongozi wazuri wanahitaji kuongeza strategies tuKuongea kwa kufoka foka Haina maana mtu ni kiongozi Bora,,kiongozi Bora aliebaki chadema ni mnyika na bon YAI na kidogo Amani gulungwa,
Hawa wengine wa kutoka foka hamna kitu hawatofautiana na wale wachungaji wa kilokole,wanaofoka foka kwa sauti Nene Kama Ja lue au Shaba ranks
Ungekuwa unampenda Heche ungeyachukua mapungufu haya na kumfikishia, ungemsaidia sana kuliko kuniambia nina wivuAcha uwivu wako mkuu,
Haizuii kutoa ushauri wa bureHaters never end ........Ni swala la zamu tu ndio linakufanya uwaze hivyo Ndugu Stuxnet.
Miaka michache tu iliyopita tulikuwa tunawaza mamoja.
Hongereni
Sawa mkuuHaizuii kutoa ushauri wa bure
Wamethibitisha in Chadema none is irreplaceable.Mwenye kiti yupo ndani ila shughuli zinaenda vizuri, kudos Heche.
Hehehehe.....Umemuumbua usishangae akaanza kukutafuta.Mkuu, ww utakuwa ni sehemu ya watekaji, mtu kusema ukweli ni kuropaka? No reforms No election
Mbali mnooooooJamani kamanda huyu Heche anakitu kikubwa sana juu ya siasa, za kizarendo za Tanzania , huyu ni Azina ya taifa, leo na hata badae.
Ana uwezo wa kujenga hoja za kuwagusa watu masikini, lakini huwa anatoa mifano hai, juu namna lasirimali za nchi zinavyoibiwa, na serikali ya ccm.
Nimemfuatilia kwenye kea karibu kampeni za" No reforms No election" watanzania wengi wanaguswa na hoja zake.
Watanzania na wanachadema wote hajutii kumchagua kuwa makamu mwenyekiti.
Lakini pia chadema ndio chama kinachopendwa na watanzania wote zaidi kuliko chama chochote.
Watu wanakwenda wenyewe kwenye mikutano ,wanatumia nauli lakini pia wanachangia tone tone! This is" extremely amezing" tofauti na huko ccm.
NB, chadema mna vijana wengi sana" smart" endeleni kuwapa nafasi, No body in ,No body out, No reforms No election ,Mungu ibariki chadema Mungu ibariki Tanzania, by mwinjilist wenu Gabeji.
In fact,Jamani kamanda huyu Heche anakitu kikubwa sana juu ya siasa, za kizarendo za Tanzania , huyu ni Azina ya taifa, leo na hata badae.
Ana uwezo wa kujenga hoja za kuwagusa watu masikini, lakini huwa anatoa mifano hai, juu namna lasirimali za nchi zinavyoibiwa, na serikali ya ccm.
Nimemfuatilia kwenye kea karibu kampeni za" No reforms No election" watanzania wengi wanaguswa na hoja zake.
Watanzania na wanachadema wote hajutii kumchagua kuwa makamu mwenyekiti.
Lakini pia chadema ndio chama kinachopendwa na watanzania wote zaidi kuliko chama chochote.
Watu wanakwenda wenyewe kwenye mikutano ,wanatumia nauli lakini pia wanachangia tone tone! This is" extremely amezing" tofauti na huko ccm.
NB, chadema mna vijana wengi sana" smart" endeleni kuwapa nafasi, No body in ,No body out, No reforms No election ,Mungu ibariki chadema Mungu ibariki Tanzania, by mwinjilist wenu Gabeji.
So why're you asking irresponsible question?No thanks
the nonsense is no more gentleman πNo reforms No election
AminiYaa Ni mzalendo,, mkweli na jasiri.Mungu ampe Maisha marefu
Because I can't afford hiring a lawyer and some risk.So why're you asking irresponsible question?
Turudi hapaHeche hafiki popote. Mark this post.
Heche ni MROPOKAJI kama Tundu tu halafu ni mwanaharakati. Wanaofanikiwa kwenye siasa ni watu wenye hekima tu na wenye utulivu wa ubongo.
Ukimfuatikia Twitter ndiyo utajuwa hamna kitu pale. Yeye ana tweet kila upuuzi anao uokota kwenye social media. Hii ni dalili kuwa hana mikakati ya uongozi wa chama