technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Tuelewshe Dr Professer Msc Dean at UDSM honourable your majesty Haya.Nyie wanaharakati ni watu wajinga sana , na mna upeo mdogo sana wa kuelewa siasa.
Kwakuwa mnakariri mambo
Nishasema mara nyingi tu hapa. Kuwa CHADEMA wamebaki kudemka kwa kila ngoma inayopigwa na CCMJe watafanikiwa ?
Baada ya kushindwa kupitia Samia na NCHIMBI kuwaadaa watanzania
Sasa wametengeneza misheni nyingine eti mgogoro wa Tanganyika na Zanzibar.
Hivi Kuna mzanzibar mwenye ubavu wa kuvunja Muungano?
Wakati Muungano ukivunjika 40% ya wazanzibar watarudi kwao na Wana baadhi ya biashara kubwa uku Tanganyika?
Nawaambia hii ni siasa inatengenezwa ili kupoteza story za October 29 mwaka Jana.
Hapo watanganyika mnapangwa muwe wamoja halafu badae watajitokeza wauaji na kuhutubia na kukemea ili wapate uhalali wa kisiasa
Watanganyika shutukeni focus iwe ni haki ya Lissu, uchaguzi huru na haki kwa ndugu zetu waliokufa October 29,2025.
R.I.P mashujaa wetu.
7/7/2026 tunatoka kuwatetea.
Wewe ni pumbavu sana.Nyie wanaharakati ni watu wajinga sana, na mna upeo mdogo sana wa kuelewa siasa.Na wewe ni
Kwakuwa mnakariri mambo
Mwanaharati ni nani? Jibu kama mtu aliyekwenda shule.Nyie wanaharakati ni watu wajinga sana , na mna upeo mdogo sana wa kuelewa siasa.
Kwakuwa mnakariri mambo
We ni falaNyie wanaharakati ni watu wajinga sana , na mna upeo mdogo sana wa kuelewa siasa.
Kwakuwa mnakariri mambo