Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Maneno mengi lakini umeshindwa kuusema huo uzuri wa Banda zaidi ya kusema amecheza ulaya. Sio kila Mtoto anaechezea u20 ya Man u au Barca ni bora zaidi ya anaechezea U20 ya Al ahly, ndio Al ahly ya egypt. Vile vile sio kila aliewahi kucheza ulaya ni bora zaidi ya ambae hajaenda huko.Farid Musa, Chilunda wote wamecheza ulaya, je nao ni tishio duniani?Yani Banda leo hii ndo wakufananishwa na watoto wa Biashara United.Mtu anacheza national team kaenda kucheza Ulaya kwa mkopo na kurejeshwa leo hii awe sawa na hao watoto.Banda lakini umewahi muona akicheza au kwa sababu unafata maneno ya wengi.Ukweli ni kwamba Banda ni mchezaji tishio hapa Afrika na duniani maana yule kashacheza Ulaya mwenzio, sasa kumpambanisha na watoto wa biashara unakuwa unamkosea heshima. Sema nini mi simlazimishi mtu kumuelewa Banda
Maneno mengi lakini umeshindwa kuusema huo uzuri wa Banda zaidi ya kusema amecheza ulaya. Sio kila mchezaji anaechezea u20 ya Man u au Barca ni bora zaidi ya anaechezea U20 ya Al ahly, ndio Al ahly ya egypt. Vile vile sio kila aliewahi kucheza ulaya ni bora zaidi ya ambae hajaenda huko.Farid Musa, Chilunda wote wamecheza ulaya, je nao ni tishio duniani?
Kweli! ujue mwisho nilimalizia vipi,nilisema hakuna namna naweza sema kila mtu amuelewe Banda, kwahiyo ni uchaguzi.Lakini nina swali kwako,ndio Banda anaweza asiwe bora kama kila mtu anavyotaka lakini huyu Banda kacheza mechi ngapi Simba na mda gani ili tujue kama haya yana ukweli au hisia tuManeno mengi lakini umeshindwa kuusema huo uzuri wa Banda zaidi ya kusema amecheza ulaya. Sio kila Mtoto anaechezea u20 ya Man u au Barca ni bora zaidi ya anaechezea U20 ya Al ahly, ndio Al ahly ya egypt. Vile vile sio kila aliewahi kucheza ulaya ni bora zaidi ya ambae hajaenda huko.Farid Musa, Chilunda wote wamecheza ulaya, je nao ni tishio duniani?
Aisee br 101% nakuunga mkono na sijui kwann hatumuoni huyu jamaa kama ni bonge la kitasa .....Hakuna Beki imara Simba kama Kennedy Juma.
Nashangaa ni vipi huwa anawekwa benchi.
Timu iliyocheza na Namungo kipindi cha pili ndio ianza kila mechi. Wengine wapambane kuingia kikosini.
Hivi ni kwaniniAisee br 101% nakuunga mkono na sijui kwann hatumuoni huyu jamaa kama ni bonge la kitasa .....
au amefunikwa asionekane nyota yake.....
Unamponda wa nyumbani mwenzako badala ya kumtia moyo.Kibu n DITRAM NCHIMBI aliyechangamka nu suala la muda tu
Kwa hiyo point ni kwamba apewe muda wa kuonesha kipaji chake lakini sio kusema Banda ni tishio Afrika kisa amewahi cheza ulaya.Kweli! ujue mwisho nilimalizia vipi,nilisema hakuna namna naweza sema kila mtu amuelewe Banda, kwahiyo ni uchaguzi.Lakini nina swali kwako,ndio Banda anaweza asiwe bora kama kila mtu anavyotaka lakini huyu Banda kacheza mechi ngapi Simba na mda gani ili tujue kama haya yana ukweli au hisia tu
Million 40 si mchezo wanawaza wakizipata wananunua ata passoHivi ni kwanini
Timu zikifungwa na timu nyingine wachezaji hawalii.
Zikifungwa na Simba tu Wachezaji wanabubujikwa na machozi hadi wanagaragara chini.
Namungo, Polisi tz, Dodoma jiji wote walimwagika machozi baada ya kufungwa.
Kuna nini haswa ?
Hili ndio jibu sasa, ila ukweli dogo anacheza vizuri, kwa game ambazo nimeona akicheza sema nyingi nimeona akiwa na timu ya taifa sasa sijui ni mfumo au nini lakini yuko vizuriKwa hiyo point ni kwamba apewe muda wa kuonesha kipaji chake lakini sio kusema Banda ni tishio Afrika kisa amewahi cheza ulaya.
Wanapewa ahadi ya pesa. Walivyo wajinga wanapewa ahadi ya 10m. Sasa sijui watagawana sh. ngapi ngapi.Hivi ni kwanini
Timu zikifungwa na timu nyingine wachezaji hawalii.
Zikifungwa na Simba tu Wachezaji wanabubujikwa na machozi hadi wanagaragara chini.
Namungo, Polisi tz, Dodoma jiji wote walimwagika machozi baada ya kufungwa.
Kuna nini haswa ?
Wanalia kuukosa mpunga wa GSMHivi ni kwanini
Timu zikifungwa na timu nyingine wachezaji hawalii.
Zikifungwa na Simba tu Wachezaji wanabubujikwa na machozi hadi wanagaragara chini.
Namungo, Polisi tz, Dodoma jiji wote walimwagika machozi baada ya kufungwa.
Kuna nini haswa ?
Naunga mkono hoja kwa 100%FIRST ELEVEN YA USHINDI TUPU
1. Aishi Manula
2. Shomary Kapombe
3. Mohammed Hussein Zimbwe
4. Kennedy Wilson
5. Joash Onyango
6. Jonas Mkude Deco de Souza
7. Duncan Nyoni
8. Rally Bwalya
9. Meddie Kagere Mkombozi
10. Ibrahim Ajib Fundi wa Mpira
11. Kibu Denis Mpambanaji
SUBSTITUTES WA USHINDI TUPU
1. Beno Kakolanya
2. Israel Mwenda
3. Bernard Morrison
4. Chris Kope Mushimba Mugalu
5. Pape Ousmane Sakho
6. Henock Inonga Varane
7. Hassan Dilunga
8. Muzamir Yasin
WASHAURI WAKUU WA WACHEZAJI
1. John Boko
2. Erasto Nyoni
WACHEZAJI AMBAO SIJAWATAJA
Waendelee kuongeza bidii ya Mazoezi, Wajifunze kwa Wenzao na wasihofu watacheza tu hata katika Mechi za Mapinduzi, Kagame Cup na za Kirafiki pia.
Mkuu katika nchi kuna mashabiki ambao hiwa wanaangalia highlights na wakitoka Hapo wanasikiliza wachambuzi wetu wa michongo na wakiwa kwenye vibanda umiza KAZI ni kubishana Tu hata game haangalii anaweza mchambua mchezaji kwa Dakika 45 Tu akamjua ni mzuri au mbaya pasina hata ya kumpa Muda mchezaji anaweza akawa mzuri ila kwa maneno Yao hiwa wanatuharibia wachezajiYani Banda leo hii ndo wakufananishwa na watoto wa Biashara United.Mtu anacheza national team kaenda kucheza Ulaya kwa mkopo na kurejeshwa leo hii awe sawa na hao watoto.Banda lakini umewahi muona akicheza au kwa sababu unafata maneno ya wengi.Ukweli ni kwamba Banda ni mchezaji tishio hapa Afrika na duniani maana yule kashacheza Ulaya mwenzio, sasa kumpambanisha na watoto wa biashara unakuwa unamkosea heshima. Sema nini mi simlazimishi mtu kumuelewa Banda
Ofcourse mengineyo yapo hatukatai ila hata timu inakamiwa hatari ....sijui ni nini hasa kinaendelea...Hivi ni kwanini
Timu zikifungwa na timu nyingine wachezaji hawalii.
Zikifungwa na Simba tu Wachezaji wanabubujikwa na machozi hadi wanagaragara chini.
Namungo, Polisi tz, Dodoma jiji wote walimwagika machozi baada ya kufungwa.
Kuna nini haswa ?
Ahadi za GSM nazo huyeyuka pia Ndugu.Hivi ni kwanini
Timu zikifungwa na timu nyingine wachezaji hawalii.
Zikifungwa na Simba tu Wachezaji wanabubujikwa na machozi hadi wanagaragara chini.
Namungo, Polisi tz, Dodoma jiji wote walimwagika machozi baada ya kufungwa.
Kuna nini haswa ?