Baada ya Mkwara wangu Kuzaa Matunda na leo Simba SC imeshinda japo kwa taabu naomba Kikosi hiki ndiyo kiwe kinaanza mwanzo mwisho tafadhali

Hakuna Beki imara Simba kama Kennedy Juma.
Nashangaa ni vipi huwa anawekwa benchi.

Timu iliyocheza na Namungo kipindi cha pili ndio ianza kila mechi. Wengine wapambane kuingia kikosini.
 
Yani Banda leo hii ndo wakufananishwa na watoto wa Biashara United.Mtu anacheza national team kaenda kucheza Ulaya kwa mkopo na kurejeshwa leo hii awe sawa na hao watoto.Banda lakini umewahi muona akicheza au kwa sababu unafata maneno ya wengi.Ukweli ni kwamba Banda ni mchezaji tishio hapa Afrika na duniani maana yule kashacheza Ulaya mwenzio, sasa kumpambanisha na watoto wa biashara unakuwa unamkosea heshima. Sema nini mi simlazimishi mtu kumuelewa Banda
Maneno mengi lakini umeshindwa kuusema huo uzuri wa Banda zaidi ya kusema amecheza ulaya. Sio kila Mtoto anaechezea u20 ya Man u au Barca ni bora zaidi ya anaechezea U20 ya Al ahly, ndio Al ahly ya egypt. Vile vile sio kila aliewahi kucheza ulaya ni bora zaidi ya ambae hajaenda huko.Farid Musa, Chilunda wote wamecheza ulaya, je nao ni tishio duniani?
 
Maneno mengi lakini umeshindwa kuusema huo uzuri wa Banda zaidi ya kusema amecheza ulaya. Sio kila mchezaji anaechezea u20 ya Man u au Barca ni bora zaidi ya anaechezea U20 ya Al ahly, ndio Al ahly ya egypt. Vile vile sio kila aliewahi kucheza ulaya ni bora zaidi ya ambae hajaenda huko.Farid Musa, Chilunda wote wamecheza ulaya, je nao ni tishio duniani?
 
Maneno mengi lakini umeshindwa kuusema huo uzuri wa Banda zaidi ya kusema amecheza ulaya. Sio kila Mtoto anaechezea u20 ya Man u au Barca ni bora zaidi ya anaechezea U20 ya Al ahly, ndio Al ahly ya egypt. Vile vile sio kila aliewahi kucheza ulaya ni bora zaidi ya ambae hajaenda huko.Farid Musa, Chilunda wote wamecheza ulaya, je nao ni tishio duniani?
Kweli! ujue mwisho nilimalizia vipi,nilisema hakuna namna naweza sema kila mtu amuelewe Banda, kwahiyo ni uchaguzi.Lakini nina swali kwako,ndio Banda anaweza asiwe bora kama kila mtu anavyotaka lakini huyu Banda kacheza mechi ngapi Simba na mda gani ili tujue kama haya yana ukweli au hisia tu
 
Hakuna Beki imara Simba kama Kennedy Juma.
Nashangaa ni vipi huwa anawekwa benchi.

Timu iliyocheza na Namungo kipindi cha pili ndio ianza kila mechi. Wengine wapambane kuingia kikosini.
Aisee br 101% nakuunga mkono na sijui kwann hatumuoni huyu jamaa kama ni bonge la kitasa .....
au amefunikwa asionekane nyota yake.....
 
Hivi ni kwanini
Timu zikifungwa na timu nyingine wachezaji hawalii.
Zikifungwa na Simba tu Wachezaji wanabubujikwa na machozi hadi wanagaragara chini.
Namungo, Polisi tz, Dodoma jiji wote walimwagika machozi baada ya kufungwa.
Kuna nini haswa ?
 
Kweli! ujue mwisho nilimalizia vipi,nilisema hakuna namna naweza sema kila mtu amuelewe Banda, kwahiyo ni uchaguzi.Lakini nina swali kwako,ndio Banda anaweza asiwe bora kama kila mtu anavyotaka lakini huyu Banda kacheza mechi ngapi Simba na mda gani ili tujue kama haya yana ukweli au hisia tu
Kwa hiyo point ni kwamba apewe muda wa kuonesha kipaji chake lakini sio kusema Banda ni tishio Afrika kisa amewahi cheza ulaya.
 
Hili ndio jibu sasa, ila ukweli dogo anacheza vizuri, kwa game ambazo nimeona akicheza sema nyingi nimeona akiwa na timu ya taifa sasa sijui ni mfumo au nini lakini yuko vizuri
 
Hivi ni kwanini
Timu zikifungwa na timu nyingine wachezaji hawalii.
Zikifungwa na Simba tu Wachezaji wanabubujikwa na machozi hadi wanagaragara chini.
Namungo, Polisi tz, Dodoma jiji wote walimwagika machozi baada ya kufungwa.
Kuna nini haswa ?
Wanapewa ahadi ya pesa. Walivyo wajinga wanapewa ahadi ya 10m. Sasa sijui watagawana sh. ngapi ngapi.

Baada ya kucheza na simba kwa kutumia nguvu nyingi wanafungwa. Mechi inayokuja wanakuwa wechoka na wamekata tamaa.
 
Hivi ni kwanini
Timu zikifungwa na timu nyingine wachezaji hawalii.
Zikifungwa na Simba tu Wachezaji wanabubujikwa na machozi hadi wanagaragara chini.
Namungo, Polisi tz, Dodoma jiji wote walimwagika machozi baada ya kufungwa.
Kuna nini haswa ?
Wanalia kuukosa mpunga wa GSM
 
FIRST ELEVEN YA USHINDI TUPU

1. Aishi Manula
2. Shomary Kapombe
3. Mohammed Hussein Zimbwe
4. Kennedy Wilson
5. Joash Onyango
6. Jonas Mkude Deco de Souza
7. Duncan Nyoni
8. Rally Bwalya
9. Meddie Kagere Mkombozi
10. Ibrahim Ajib Fundi wa Mpira
11. Kibu Denis Mpambanaji

SUBSTITUTES WA USHINDI TUPU

1. Beno Kakolanya
2. Israel Mwenda
3. Bernard Morrison
4. Chris Kope Mushimba Mugalu
5. Pape Ousmane Sakho
6. Henock Inonga Varane
7. Hassan Dilunga
8. Muzamir Yasin

WASHAURI WAKUU WA WACHEZAJI

1. John Boko
2. Erasto Nyoni

WACHEZAJI AMBAO SIJAWATAJA

Waendelee kuongeza bidii ya Mazoezi, Wajifunze kwa Wenzao na wasihofu watacheza tu hata katika Mechi za Mapinduzi, Kagame Cup na za Kirafiki pia.
Naunga mkono hoja kwa 100%

Simba Nguvu Moja
 
Yani Banda leo hii ndo wakufananishwa na watoto wa Biashara United.Mtu anacheza national team kaenda kucheza Ulaya kwa mkopo na kurejeshwa leo hii awe sawa na hao watoto.Banda lakini umewahi muona akicheza au kwa sababu unafata maneno ya wengi.Ukweli ni kwamba Banda ni mchezaji tishio hapa Afrika na duniani maana yule kashacheza Ulaya mwenzio, sasa kumpambanisha na watoto wa biashara unakuwa unamkosea heshima. Sema nini mi simlazimishi mtu kumuelewa Banda
Mkuu katika nchi kuna mashabiki ambao hiwa wanaangalia highlights na wakitoka Hapo wanasikiliza wachambuzi wetu wa michongo na wakiwa kwenye vibanda umiza KAZI ni kubishana Tu hata game haangalii anaweza mchambua mchezaji kwa Dakika 45 Tu akamjua ni mzuri au mbaya pasina hata ya kumpa Muda mchezaji anaweza akawa mzuri ila kwa maneno Yao hiwa wanatuharibia wachezaji
 
Hivi ni kwanini
Timu zikifungwa na timu nyingine wachezaji hawalii.
Zikifungwa na Simba tu Wachezaji wanabubujikwa na machozi hadi wanagaragara chini.
Namungo, Polisi tz, Dodoma jiji wote walimwagika machozi baada ya kufungwa.
Kuna nini haswa ?
Ofcourse mengineyo yapo hatukatai ila hata timu inakamiwa hatari ....sijui ni nini hasa kinaendelea...
 
Hivi ni kwanini
Timu zikifungwa na timu nyingine wachezaji hawalii.
Zikifungwa na Simba tu Wachezaji wanabubujikwa na machozi hadi wanagaragara chini.
Namungo, Polisi tz, Dodoma jiji wote walimwagika machozi baada ya kufungwa.
Kuna nini haswa ?
Ahadi za GSM nazo huyeyuka pia Ndugu.
 
Back
Top Bottom