Baada ya muda mrefu sana hatimaye nimekutana na Binti Mrembo Mweusi Pee!

Baada ya muda mrefu sana hatimaye nimekutana na Binti Mrembo Mweusi Pee!

Wakuu leo bwana nikasema niushangae huu mji ambao hauna hela na maisha yakiwa makali mno.

Katika pita pita zangu nikakutana na binti mweusi pee yaani toto kiuno kama nyigu nywele kaziachia mgongoni hipsi kama mabinduki ya m23 jicho jeupeee tiii aisee.

Damu yangu ikawa ya moto mno ukizingatia kwamba huwa natekwa sana na wanawake weusi yaani awe mweusi peee.

Kwa muda mrefu sana sijakutana na mwanamke mzuri natural maana wengi kwa sasa wamekua wanatumia vitu ambavyo sio halisi ili kujipendezesha.

Nimefarijika sana.

Hongera wewe mwanamke mweusi mrembo hakika umeugusa moyo wangu.

View attachment 2490023
"Mweusi Peeee" Hebu kujeni muone maajabu ya Misemo mipya
 
Katika pita pita zangu nikakutana na binti mweusi pee yaani toto kiuno kama nyigu nywele kaziachia mgongoni hipsi kama mabinduki ya m23 jicho jeupeee tiii aisee.
Dude, do you have sickle cell or something?
 
😂😂😂unamuonea dada yetu Lenie tu sisi wanaume vitambi huwa hata hatujali sana ni nyie tu huwa mnajipa stress,sisi hili mradi awe na tako tu
Hee hadi hiki changu kinaning’inia mpaka kinafunika nunu
Nacho nisijali!?
 
Wee sema kweli
Kumbe hamuhangaiki na hivi vitambi vyetu
Wewe ulishawahi kusikia au kuona uzi/mada imeanzishwa humu kuwaponda wanawake wenye vitambi!?...kwangu mimi ni labda awe na kitambi tu bila tako ila kitambi na tako or flat tummy with ass its good for me too just like this
images - 2022-08-27T170443.357.jpeg
 
Back
Top Bottom