Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Oooh!vingine unasifia tu, ukisema uombe namba utaomba kwa wangapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oooh!vingine unasifia tu, ukisema uombe namba utaomba kwa wangapi
How I wish ukubwa wa kitambi ndio ingekua tako au basiWewe ulishawahi kusikia au kuona uzi/mada imeanzishwa humu kuwaponda wanawake wenye vitambi!?...kwangu mimi ni labda awe na kitambi tu bila tako ila kitambi na tako or flat tummy with ass its good for me too just like thisView attachment 2490100
Hee hadi hiki changu kinaning’inia mpaka kinafunika nunu
Nacho nisijali!?
Kitambi kikiwa na tako tutavumiliana lakini kitambi bila tako aisee hapa huwa hatunaga uvumilivu kbsHow I wish ukubwa wa kitambi ndio ingekua tako au basi
Ile tii ya tiiiiiiiiiii yaaniMweusi Tiiiiii
Pochi kwa hapo Unamaanisha nini mkuu?Huwa mnajishtukia tu lakini sisi hata hatujali,ni kama vile nyie mnavyoamini kuwa na pochi kali ni sababu mojawapi itakayotufanya Men tuvutiwe na nyie kumbe wallaa mimi sijawahi kabisa kumuona mwanaume anasema "Washkaji yule manzi nimempenda kinoma pochi yake kali kama nini"😃