Mr. Purpose
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 1,468
- 2,767
Bodi ya mikopo haina data nzuri mimi na rafiki angu tulipata asilimia sawa cha kushangaza mwenzangu kaandikiwa deni kubwa kuliko langu.Nimemcheka ila sina namna nimeamua nimuonee huruma.Jina nililokuwa natumia chuo sio hili nalotumia sasa, yaani yote yamebadilika..pia sipo kwenye ajira rasmi...
Acha kukurupuka bila kujua kinacho zungumzwa!!iukimya wakati mwingine unaficha kiwango chako cha kufikiria(elimu), mtu kimuonekano anaweza akahisi wewe ni prof!!lakini ukaongea kidogo, tu akajua kumbe ni std 3 B, inshu sio kukataa kulipa deni bali ni hicho kinachotozwa kwenye deni!!Dawa ya deni ni kulipa na si vinginevyo
Hawako makini, kuna ambao wataonewa na ambao watafaidikaBodi ya mikopo haina data nzuri mimi na rafiki angu tulipata asilimia sawa cha kushangaza mwenzangu kaandikiwa deni kubwa kuliko langu.Nimemcheka ila sina namna nimeamua nimuonee huruma.
Pesa inapatikana wapi ya kutosha? Hata siioniUkipata pesa lipa hilo deni. Utajisikia poa sana.
Itakuja tu maana kwani una uadui na anayetoa riziki?Pesa inapatikana wapi ya kutosha? Hata siioni
Hyo ni too much kwa Raia mnyonge na kukomoana hukoHakuna mkopo usio na riba hiyo badala ya kuitwa riba ya mkopo kama mikopo ya biashara wanaita retention money yaani riba ya kutunza thamani ya fedha
I wonder mkopo wa elimu unakuwa na riba kubwa kwani elimu ni biashara jamani, mbaya zaidi Lila mwaka inaongezeka Sasa mtu unakuwa unalipa nini?Sijaona majibu yeyote ya maana kutoka loan board zaidi ya kumtisha iddy tu na kutuaminisha eti iddy ameelewa na atakuwa balozi....ameelewa nini kwenye yale malalamiko yake? Retention fees ndio kitu gani? kwani ule mkpo ni biashara? Nimrodi Mkono alituanzishia janga la kitaifa.
Mimi mwenyewe nafikiria kufanya hvo nipe a, b, c za kubadili majinaAchana na kuajiriwa, badili majina yako yote [emoji3]
I wonder mkopo wa elimu unakuwa na riba kubwa kwani elimu ni biashara jamani, mbaya zaidi Lila mwaka inaongezeka Sasa mtu unakuwa unalipa nini?
Huko bodi Kuna watu wanatajirikia kwa kuonea watu kimakusudi au Kuna ufisadi iweje Deni liwe Lina double badala ya kumpungua na kwanini huu ujinga uanze awamu ya magufuli tu. Watu huchukua mikopo na wakianza kulipa linapungua iweje hii ya bodi ya mikopo liwe Lina double tuDeni mil 4.5 unaenda bodi kuliclear unaambiwa una deni la 12.5m yaani kila mwaka Deni linaongezeka as if haulipi kitu.
Huko bodi Kuna watu wanatajirikia kwa kuonea watu kimakusudi au Kuna ufisadi iweje Deni liwe Lina double badala ya kumpungua na kwanini huu ujinga uanze awamu ya magufuli tu. Watu huchukua mikopo na wakianza kulipa linapungua iweje hii ya bodi ya mikopo liwe Lina double tu
Ha haaa. Ni kwamba shuleni niliandikishwa jina la kinyumbani ila cheti changu cha kuzaliwa halikuwepo hilo la kinyumbani bali la ubatizo. So nilivyoolewa nikaachana na hilo la kinyumbani nikaanza kutumia lililopo kwenye cheti cha kuzaliwa nikaongeza na jina la mume wangu.Mimi mwenyewe nafikiria kufanya hvo nipe a, b, c za kubadili majina
Siku nikiwa milionea nitaenda kuwalipa, ila kwa hali hii ya kubangaiza loh wanikome kabisa, kwanza siwatambui [emoji3]Itakuja tu maana kwani una uadui na anayetoa riziki?