bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Hio ni kesi ya ustawi na sio police.Nenda polisi kuna dirisha la ustawi ukaona yale mashangazi yatakavyokufukea.
Ndoa mmevunja wote, msimtese mtoto.
Mtoto ana makosa gani?Mtoto ana makosa kwa upumbavu WA mama yake.
Nj wajibu wako kumtunza
Nahisi alimaanisha kusema hanaMtoto ana makosa gani?
Ugumu wa maisha unawavuruga mpaka akili. Umeelewa lakini nilichokiandika hapoWe mpumbavu nini,mtoto anahusikaje na ugomvi wenu?
Timiza wajibu wako acha kutaka kukwepa jukumu lako la kumlea uliyemleta duniani.
Ningekuwa karibu na wewe ningekulamba bonge la klebu,kmmq
Una bahati sana
We ndio una ukata wa maisha hadi unataka kukimbia malezi kwa kisingizio cha kukimbiwa na mwenzako.M
Ugumu wa maisha unawavuruga mpaka akili. Umeelewa lakini nilichokiandika hapo
steveachi njoo ujifunze waungwana wanavyojibu maswali.Mkuu good,
Pole kwa changamoto iliyokupata .
Kwanza hata kama angekuwa bado yupo na wewe si haki mwanamke kusema anataka matumizi ya mtoto kiasi gani, kadhalika hata kama amekimbia hawezi kukupa standard ya kiasi cha pesa cha kuhuumia mtoto.
Kama alivunja ndoa na kuondoka nafikiri mngekuwa mmefika ustawi na kufahamu taratibu za kutunza mtoto wenu.
Pole sana uwanaume ni changamoto.
Kwani polisi pale hakuna dawati la jinsia?Hio ni kesi ya ustawi na sio police.
Kiwango ni kwa kadri uwezavyo mtunza mtoto.
Mkuu good,
Pole kwa changamoto iliyokupata .
Kwanza hata kama angekuwa bado yupo na wewe si haki mwanamke kusema anataka matumizi ya mtoto kiasi gani, kadhalika hata kama amekimbia hawezi kukupa standard ya kiasi cha pesa cha kuhuumia mtoto.
Kama alivunja ndoa na kuondoka nafikiri mngekuwa mmefika ustawi na kufahamu taratibu za kutunza mtoto wenu.
Pole sana uwanaume ni changamoto.
Picha ya hayo mashangazi tafadhali.Nenda polisi kuna dirisha la ustawi ukaone yale mashangazi yatakavyokufokea.
Ndoa mmevunja wote, msimtese mtoto.
Sasa hapo "ana'' una maanisha mtoto ana makosa....au una maanisha Mtoto hana makosa....?Mtoto ana makosa kwa upumbavu WA mama yake.
Nj wajibu wako kumtunza
Jmaa huyo anataka waendele kulea mtoto yaani wakae nyumba moja?Iko hivi mkuu, ni mke wa jamaa yangu yy si mtu wa mitandao.nilishawahi kulileta humu. Aliondoka na kubeba vyombo vya ndani vyote na kuvunja simu ya jamaa, haikutosha akakimbilia polisi ndio kumuelekeza ustawi.
Jamaa aliitwa ustawi akasema yy pamoja na yote bado anataka walee mtoto pamoja. Mwanamke akakataa kuwa anataka aishi maisha yake. Akahitaji alipwe kiasi cha fedha kila mwisho wa mwezi maana jamaa yupo serikalini. Jamaa akadai yupo tayari kumtunza mtoto lakini si kwa kupangiwa kama ambavyo Mwanamke anadai
Ustawi kuona msimamo wa wanamke wakaamua warudishe kwanza maamzi kwa wazazi. Wazazi wamegoma kutoa uamzi wamemwambia binti yao arudi ustawi. Ndio jamaa kapokea witonwa kurudi tena ustawi
Anasema ikiwezekana amwachie nyumba yy jamaa akapangeJmaa huyo anataka waendele kulea mtoto yaani wakae nyumba moja?
Kama mna watoto muachie nyumba kaanze upyaAnasema ikiwezekana amwachie nyumba yy jamaa akapange