Baada ya Ndoa kuvunjika, sheria inasemaje kuhusu matunzo ya mtoto? Ni hiari au ni lazima Wazazi kutunza watoto?

Vyovyote Vile mtoto kwanza mengine baadae maana wao hawahusiki na ugomvi wenu.
Wao ni wahanga tu WA vita walionyimwa haki ya kuhisi upendo WA baba na mama ili kubalance makuzi Yao.
Mtoto aliyelelewa na wazazi wawili na aliyelelwa na mzazi mmoja katu hawafanani tabia hata
 
M
We mpumbavu nini,mtoto anahusikaje na ugomvi wenu?

Timiza wajibu wako acha kutaka kukwepa jukumu lako la kumlea uliyemleta duniani.

Ningekuwa karibu na wewe ningekulamba bonge la klebu,kmmq

Una bahati sana
Ugumu wa maisha unawavuruga mpaka akili. Umeelewa lakini nilichokiandika hapo
 
Wanasheria wanasema tuendelee kutunza watoto hawana hatia. Wanaume wengine huzira kutoa matunzo wanaanzisha famili mpya. Wanawake wengine ni kiburi hatari hawataki baba mtoto atoe matunzo
 
Mkuu good,
Pole kwa changamoto iliyokupata .
Kwanza hata kama angekuwa bado yupo na wewe si haki mwanamke kusema anataka matumizi ya mtoto kiasi gani, kadhalika hata kama amekimbia hawezi kukupa standard ya kiasi cha pesa cha kuhuumia mtoto.

Kama alivunja ndoa na kuondoka nafikiri mngekuwa mmefika ustawi na kufahamu taratibu za kutunza mtoto wenu.

Pole sana uwanaume ni changamoto.
 
steveachi njoo ujifunze waungwana wanavyojibu maswali.
 
Mkuu good,
Pole kwa changamoto iliyokupata .
Kwanza hata kama angekuwa bado yupo na wewe si haki mwanamke kusema anataka matumizi ya mtoto kiasi gani, kadhalika hata kama amekimbia hawezi kukupa standard ya kiasi cha pesa cha kuhuumia mtoto.

Kama alivunja ndoa na kuondoka nafikiri mngekuwa mmefika ustawi na kufahamu taratibu za kutunza mtoto wenu.

Pole sana uwanaume ni changamoto.

Iko hivi mkuu, ni mke wa jamaa yangu yy si mtu wa mitandao.nilishawahi kulileta humu. Aliondoka na kubeba vyombo vya ndani vyote na kuvunja simu ya jamaa, haikutosha akakimbilia polisi ndio kumuelekeza ustawi.

Jamaa aliitwa ustawi akasema yy pamoja na yote bado anataka walee mtoto pamoja. Mwanamke akakataa kuwa anataka aishi maisha yake. Akahitaji alipwe kiasi cha fedha kila mwisho wa mwezi maana jamaa yupo serikalini. Jamaa akadai yupo tayari kumtunza mtoto lakini si kwa kupangiwa kama ambavyo Mwanamke anadai

Ustawi kuona msimamo wa wanamke wakaamua warudishe kwanza maamzi kwa wazazi. Wazazi wamegoma kutoa uamzi wamemwambia binti yao arudi ustawi. Ndio jamaa kapokea witonwa kurudi tena ustawi
 
Jmaa huyo anataka waendele kulea mtoto yaani wakae nyumba moja?
 
Back
Top Bottom