Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Nauza ubuyu wa babu issa wa Zanzibar, Ubuyu huu ni mtamu sanaa kwa wanaoujua vizuri. Bei yake ni 1500 kwa packet moja (rejareja), ila kuanzia packet tano za mibuyu bei yake ni 1000/= (jumla)pia kwenye vikopo bei yake ni 1000 kwa kila mmoja..Yani kwangu ni mpya, umetoka zanzibar na boti ya mchana 😀
Napatikana mwananyamala .
Na mikoani pia natuma kwa 5000 tu ,
Kwa maelezo zaidi nicheck inbox .karibuni
[emoji338] 0685002604,0718239052