Baada ya ndoa kuvunjika, Wastara arudisha mpira kwa kipa "zilipendwa wake"

Baada ya ndoa kuvunjika, Wastara arudisha mpira kwa kipa "zilipendwa wake"

H
Wanaomlaumu Wastara bado huwa siwaelewi! Je, mnatarajia asingekuwa anagegedwa, au?! Kwa sababu ikiwa unashangaa Wastara kuolewa ni kwamba unashangaa Wastara kugegedwa... that's it! Manake ninachokiona kwa Wastara ni kuliko kugegedwa milele nje ya ndoa; yeye option yake ni kugegedwa ndani ya ndoa ingawaje ana gundu la ndoa zake kutodumu! Hapo ndipo watu wanatakiwa kuangalia... tatizo ni Wastara au wanaume anaofunga nao ndoa!!!
Hapo Yuko vizuri kugegendwa ndani ya ndoa sio Dhambi!Vitabu vimesema.
 
We unayefufua hizi thread naona UNA MATATIZO YA AKILI.
Kwanini mkuu
☕️ ya kuchangamsha kichwa after midnight!😵😵

Alafu nilikuwa nimejaa tele kwenye Karaoke 🎤

Kabla ya hapo nilikua nazunguka zunguka kila mahali...mara jiko la juu, mara la chini, mara counter...ili mradi tu we na RRONDO mnione ila wapi!🤦🏾‍♀️
 
Back
Top Bottom