Baada ya ndoa kuvunjika, Wastara arudisha mpira kwa kipa "zilipendwa wake"

Na wale watoto wawili baba zao hawakumuoa eeh mmoja ni wa solo Thang, mwingine sijui wa nani
Solo Thang alizaa nae mtoto mmoja lakini hawakufunga ndoa! Baada ya hapo ndipo akafunga ndoa na kuzaa tena mtoto mmoja... jumla ndo hao wawili unaowasema! Baada ya hii ndoa yake ya kwanza kufa, akafunga ndoa na Sajuki ambapo waliishi takribani miaka 10 kabla ya kufunga ndoa na Sadifa!

Kwahiyo hata kama watu wanasema hatulii kwenye ndoa... ukweli ni kwamba ndoa ambazo zimemvunjikia ni 2 tu... ya kwanza zamani kabisa hata JF enzi hizo haipo na ya pili ndo hii ya majuzi na Sadifa!! Lakini nadhani watu wanachanganya na ndoa za kwenye movie ndio maana inaonekana hatulii kwenye ndoa!
 
Daaah...mwanamke kweli ni nyoka ila siyo mbaya maana atayeye ni tawi la bongo movie...
 
Solo Thang alizaa nae mtoto mmoja lakini hawakufunga ndoa! Baada ya hapo ndipo akafunga ndoa na kuzaa tena mtoto mmoja... jumla ndo hao wawili unaowasema! Baada ya hii ndoa yake ya kwanza kufa, akafunga ndoa na Sajuki ambapo waliishi takribani miaka 10 kabla ya kufunga ndoa na Sadifa!

Kwahiyo hata kama watu wanasema hatulii kwenye ndoa... ukweli ni kwamba ndoa ambazo zimemvunjikia ni 2 tu... ya kwanza zamani kabisa hata JF enzi hizo haipo na ya pili ndo hii ya majuzi na Sadifa!! Lakini nadhani watu wanachanganya na ndoa za kwenye movie ndio maana inaonekana hatulii kwenye ndoa!
Wastara si ana watoto watatu?
 
Huyu nae ile ngozi itakuwa sugu kama ngozi ya goti maana duu sio kwa kurukaruka huko
 
Demu mwenyewe mzuri mbele tu...nyuma kama mama wa kihindi
 
Kuna mlevi mmoja anaitwa Lulu Semagongo nadhani, ni Ex wa huyo James Bond wa bongo muvi aliwahi kumtuhumu huyo jamaa kwamba yupo addicted na Tigo kuliko papuchi, nahisi ndicho kilichomfanya Wastara agande hapo labda...... Just thinking loud
Nafikiri ndicho kilichomfanya pia yule mbunge wa ccm kuikacha ndoa..labda alikuta mashambulizi yamefanyika sana eneo la sodoma..

Na inasemekana hawa wakishazoea 071 huwa hawaelewi kabisa usipoitumia!!
 
Back
Top Bottom