Baada ya ndoa kuvunjika, Wastara arudisha mpira kwa kipa "zilipendwa wake"

Baada ya ndoa kuvunjika, Wastara arudisha mpira kwa kipa "zilipendwa wake"

Nyie ni wafiraji hilo hamna ubishi. We imekuuma maana ndo mwenyewe.
Halafu we dada sibure unapenda sana kuwahusisha waznz na huo ushenzi, bila shaka walishawahi kukupiga mande
 
Wastara naye binadamu jmn mwacheni. Sex is basic need. Mnataka atumie midoli wkt wanaume wapo??? Acheni mambo yenu.
 
Katika pitapita huko mtaa wa pili nimekutana na hawa wapendanao tena mmmh kweli mapenzi yana nguvu kuliko breakdown. Wastara aliwahi kuwa na uhusiano na huyu Bond kabla hajamkimbia na kwenda kufunga ndoa na mheshimiwa mbunge, ndoa ambayo sidhani kama ilimaliza mwezi ikavunjika.

Ushauri:

Bond tangaza ndoa chap chap, Wastara ni mwanamke anaependa ndoa kuliko kitu chochote, akitokea mtu hapo kabeba shela mkononi utakimbiwa.

View attachment 435161
Wastara na mheshimiwa mbunge siku ya ndoa yao

View attachment 435162
Wastara na bond, baada ya kurudisha majeshi

View attachment 435163
 
Back
Top Bottom