Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
H
Hapo Yuko vizuri kugegendwa ndani ya ndoa sio Dhambi!Vitabu vimesema.Wanaomlaumu Wastara bado huwa siwaelewi! Je, mnatarajia asingekuwa anagegedwa, au?! Kwa sababu ikiwa unashangaa Wastara kuolewa ni kwamba unashangaa Wastara kugegedwa... that's it! Manake ninachokiona kwa Wastara ni kuliko kugegedwa milele nje ya ndoa; yeye option yake ni kugegedwa ndani ya ndoa ingawaje ana gundu la ndoa zake kutodumu! Hapo ndipo watu wanatakiwa kuangalia... tatizo ni Wastara au wanaume anaofunga nao ndoa!!!