Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Nauza ubuyu wa babu issa wa Zanzibar, Ubuyu huu ni mtamu sanaa kwa wanaoujua vizuri. Bei yake ni 1500 kwa packet moja (rejareja), ila kuanzia packet tano za mibuyu bei yake ni 1000/= (jumla)pia kwenye vikopo bei yake ni 1000 kwa kila mmoja..Yani kwangu ni mpya, umetoka zanzibar na boti ya mchana 😀
Kama Wastara alimuacha na kamrudia tena ina maana anamfahamu ila kaamua kurudi na kwa lolote litakalotokea yuko tayari kulikubali.Huyo jamaa nasikia ni muharibifu sana anapenda kuruka ukuta..pole yake huyo dada
Tatizo ni kwamba hatulii. Hata kama ni kuolewa unajipa muda wa kujipanga na kumuelewa mwanaume. Siyo kila mmoja anakuja anasema anataka kukuoa bila kumfahamu vizuri we unakubali. Nadhani wanaume wengi wametumia udhaifu wake kumpata na hawakuwa na nia hiyo ya ndoa.Wanaomlaumu Wastara bado huwa siwaelewi! Je, mnatarajia asingekuwa anagegedwa, au?! Kwa sababu ikiwa unashangaa Wastara kuolewa ni kwamba unashangaa Wastara kugegedwa... that's it! Manake ninachokiona kwa Wastara ni kuliko kugegedwa milele nje ya ndoa; yeye option yake ni kugegedwa ndani ya ndoa ingawaje ana gundu la ndoa zake kutodumu! Hapo ndipo watu wanatakiwa kuangalia... tatizo ni Wastara au wanaume anaofunga nao ndoa!!!
Hivi hizo ndoa ambazo hatulii ni ngapi hadi sasa?! Au mnahesabu hadi za kwenye movie? Manake ninavyojua mimi baada ya ndoa yake ya kwanza (kiukweli bado alikuwa mdogo) akaja kufunga ndoa na Sajuki ambae walidumu kwenye ndoa for almost 10 years. Hivi ndoa za wasanii vijana kudumu miaka 10 utasema "hatulii?" Baada ya Sajuki ndo akaja kufunga ndoa na Sadifa! Na dalili za kutodumu ndoa ya Sadifa zilikuwa wazi! Kwanza Sadifa alimpora Wastara toka kwa Bond! Lakini pia Sadifa alikuwa na wake wengine kama sio watatu basi wawili!! Unatarajia nini hapo?! Au kuna ndoa nyingine zilizovunjika ambazo sizifahamu mbali na hii ya Sadifa na ile ya zamani kabisa wakati akiwa bado msichana mdogo?!Tatizo ni kwamba hatulii. Hata kama ni kuolewa unajipa muda wa kujipanga na kumuelewa mwanaume. Siyo kila mmoja anakuja anasema anataka kukuoa bila kumfahamu vizuri we unakubali. Nadhani wanaume wengi wametumia udhaifu wake kumpata na hawakuwa na nia hiyo ya ndoa.
Aisee lazima Adanje maana upuuzi hauvumilikiAkifufuka anakufa tena
Kweli aseeAtakufa tena hapo hapo.
usikute ndo kilichomshinda mbungeHuyo jamaa nasikia ni muharibifu sana anapenda kuruka ukuta..pole yake huyo dada
Unauza ubuyu wa kula au ubuyu wa umbea? 😀Nauza ubuyu wa babu issa wa Zanzibar, Ubuyu huu ni mtamu sanaa kwa wanaoujua vizuri. Bei yake ni 1500 kwa packet moja (rejareja), ila kuanzia packet tano za mibuyu bei yake ni 1000/= (jumla)pia kwenye vikopo bei yake ni 1000 kwa kila mmoja..
Napatikana mwananyamala .
Na mikoani pia natuma kwa 5000 tu ,
Kwa maelezo zaidi nicheck inbox .karibuni
[emoji338] 0685002604,0718239052
Ana watoto watatu kila mmoja na baba ake na ndoa kadhaa, mmmh Ukiona mwanamke anazaa zaa na watu tofauti tofauti kuna shida mahaliWastara nilikua namheshim kumbe nae pumbastiki tuuuuu me namsifu mwanamke aliefiwa Na mmewe akangonoka Kila uchwao n Bora alivojifia sajuki wa watu Allah amemuepushia huuu upuuuzi wa huyu dada
Anapenda sana ndoa, ila ndoa hazimpendiHuyu dada naye tatizo lake ni "cha wote"
Akichelewa ataachwa kwa mara nyingine tenaKiporo hakihitaji Moto mwingi yani hata moto wa sigara tuu Unapasha.
Bond gonga show kama kawa..
Ishu ya ndoa Mungu akijaaliya hapo sawa ila kwahivisasa tafuna Pension yako kama kawa..
Na wale watoto wawili baba zao hawakumuoa eeh mmoja ni wa solo Thang, mwingine sijui wa naniHivi hizo ndoa ambazo hatulii ni ngapi hadi sasa?! Au mnahesabu hadi za kwenye movie? Manake ninavyojua mimi baada ya ndoa yake ya kwanza (kiukweli bado alikuwa mdogo) akaja kufunga ndoa na Sajuki ambae walidumu kwenye ndoa for almost 10 years. Hivi ndoa za wasanii vijana kudumu miaka 10 utasema "hatulii?" Baada ya Sajuki ndo akaja kufunga ndoa na Sadifa! Na dalili za kutodumu ndoa ya Sadifa zilikuwa wazi! Kwanza Sadifa alimpora Wastara toka kwa Bond! Lakini pia Sadifa alikuwa na wake wengine kama sio watatu basi wawili!! Unatarajia nini hapo?! Au kuna ndoa nyingine zilizovunjika ambazo sizifahamu mbali na hii ya Sadifa na ile ya zamani kabisa wakati akiwa bado msichana mdogo?!