Baada ya ndoa ya Toni Braxton na Birdman kudumu kwa mwezi mmoja, Toni aomba talaka

Damaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
6,236
Reaction score
10,774
KIMEUMANA🚨‼️
Mwanamama Toni Braxton amefungua kesi ya kudai talaka dhidi ya mume wake Birdman ndani ya mwezi mmoja tu baada ya ndoa yao kwa sababu kuu akidai amechoka na ndoa hiyo.
images - 2025-04-13T214543.827.jpeg

Toni Braxton na Birdman walichumbiana kwa zaidi ya miaka 16 na walifunga ndoa mwezi uliopita lakini leo, Toni Braxton amedai kuwa alichanganyikiwa na ndoa hiyo kwani hakuwa tayari na ndoa Birdman na akawasilisha ombi la talaka.
images - 2025-04-13T214535.385.jpeg

Birdman atalazimika kumlipa zaidi ya nusu ya utajiri wake zaidi ya dola milioni 160 kwani Toni Braxton amedai kuwa amewekeza pesa nyingi katika ndoa yao ya mwezi moja.
1744569896369.jpg

Mwanamama huyo amedai kuwa amemsaidia sana Birdman kupiga hatua kwenye maendeleo yake ndani ya mwezi huo mmoja. Hivyo yeye kupewa nusu ya mali za Birdman ni haki yake ya msingi.

Birdman ulikuwa unakimbia vipindi katika chuo kikuu cha HAKIMINOLOGY! UMESHAUPOZA.
 
KIMEUMANA🚨‼️
Mwanamama Toni Braxton amefungua kesi ya kudai talaka dhidi ya mume wake Birdman ndani ya mwezi mmoja tu baada ya ndoa yao kwa sababu kuu akidai amechoka na ndoa hiyo.
View attachment 3303273
Toni Braxton na Birdman walichumbiana kwa zaidi ya miaka 16 na walifunga ndoa mwezi uliopita lakini leo, Toni Braxton amedai kuwa alichanganyikiwa na ndoa hiyo kwani hakuwa tayari na ndoa Birdman na akawasilisha ombi la talaka.
View attachment 3303274
Birdman atalazimika kumlipa zaidi ya nusu ya utajiri wake zaidi ya dola milioni 160 kwani Toni Braxton amedai kuwa amewekeza pesa nyingi katika ndoa yao ya mwezi moja.
View attachment 3303275
Mwanamama huyo amedai kuwa amemsaidia sana Birdman kupiga hatua kwenye maendeleo yake ndani ya mwezi huo mmoja. Hivyo yeye kupewa nusu ya mali za Birdman ni haki yake ya msingi.

Birdman ulikuwa unakimbia vipindi katika chuo kikuu cha HAKIMINOLOGY! UMESHAUPOZA.
Halafu hayana haya,nyuso kavu!
 
Back
Top Bottom