Baada ya ndoa ya Toni Braxton na Birdman kudumu kwa mwezi mmoja, Toni aomba talaka

Baada ya ndoa ya Toni Braxton na Birdman kudumu kwa mwezi mmoja, Toni aomba talaka

Eti sawa
Haya ya 50/50 ndio trump aliyakataa kipindi anaingia ikulu January

Sijajua ule mswada wake WA wanawake wanaoachika wapewe 10% ya utajiri sawa na madalali ulishapita au vipi?
Na madalali 🤣
 
Miaka 16 ya uchumba mtu anakutafuta tu uingie kwenye ndoa amalize mchezo yani demu kaonyesha nini alikuwa anakitafuta miaka hiyo yote 16, ..huyo mwamba nae kichwa kikubwa kama helmet ya fekon akili hamna ,umefanikiwa kum**mba demu miaka 16 yote unafunga nae ndoa ili utafute nini tena na usikute hata mtoto hajakuzalia, poor birdman
🤣🤣🤣
 
Huyu hawezi kukaa kwenye ndoa wakati bwanake anayempa michongo Babyface yupo hai labda afariki.
Babyface na Toni hawana uhusiano zaidi ya kazi. Wengi huwa wanadhania hivyo kwa kuwa Babyface amemkuza kimuziki Toni.
 
Back
Top Bottom