Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Utafunga na kale ka binti kenye mchanga kitumbuani
Tukifunga ndoa nawee Utakua kama toni?
Tukifunga ndoa nawee Utakua kama toni?
Ni Sheria za marekani usichanganye mambo, wao wanaita malipo ya fidia si kugawana mali walizotafuta kwenye ndoaHakuna kitu kama hicho, hakuna mali ya kugawana hapo, mtoa mada angalia vizuri source ya hii taarifa.
Ona hii kenge....inatuita nguchiro baadala ya mbwa 🤣🤣🤣🤣Kwa namna wanaume walivyo washenzi...
Maslayqeen nyokeni nao hao nguchiro🤒
Toni Braxton na Birdman walichumbiana kwa zaidi ya miaka 16 na walifunga ndoa mwezi uliopita lakini leo, Toni Braxton amedai kuwa alichanganyikiwa na ndoa hiyo kwani hakuwa tayari na ndoa Birdman na akawasilisha ombi la talaka.
Msicomment Uzi wowote bila kuthibitisha ukweli wa Uzi huo, utamaliza maneno MWISHO wa siku unakuja gundua umrcomment kwenye Uzi wa uwongo, mtoa mada hii Kwa kifupi hajielewi anafikiri kugawana mali ni kama kugawana ntalali, acha upuuzi, ujinga na upumbavu mtoa mada
KIMEUMANA🚨‼️
Mwanamama Toni Braxton amefungua kesi ya kudai talaka dhidi ya mume wake Birdman ndani ya mwezi mmoja tu baada ya ndoa yao kwa sababu kuu akidai amechoka na ndoa hiyo.
View attachment 3303273
Toni Braxton na Birdman walichumbiana kwa zaidi ya miaka 16 na walifunga ndoa mwezi uliopita lakini leo, Toni Braxton amedai kuwa alichanganyikiwa na ndoa hiyo kwani hakuwa tayari na ndoa Birdman na akawasilisha ombi la talaka.
View attachment 3303274
Birdman atalazimika kumlipa zaidi ya nusu ya utajiri wake zaidi ya dola milioni 160 kwani Toni Braxton amedai kuwa amewekeza pesa nyingi katika ndoa yao ya mwezi moja.
View attachment 3303275
Mwanamama huyo amedai kuwa amemsaidia sana Birdman kupiga hatua kwenye maendeleo yake ndani ya mwezi huo mmoja. Hivyo yeye kupewa nusu ya mali za Birdman ni haki yake ya msingi.
Birdman ulikuwa unakimbia vipindi katika chuo kikuu cha HAKIMINOLOGY! UMESHAUPOZA.
Walioana August, 2024 baada ya week mbili Toni akafe for divorce ila January mwaka huu waliondoa shauri mahakamaniKIMEUMANA🚨‼️
Mwanamama Toni Braxton amefungua kesi ya kudai talaka dhidi ya mume wake Birdman ndani ya mwezi mmoja tu baada ya ndoa yao kwa sababu kuu akidai amechoka na ndoa hiyo.
View attachment 3303273
Toni Braxton na Birdman walichumbiana kwa zaidi ya miaka 16 na walifunga ndoa mwezi uliopita lakini leo, Toni Braxton amedai kuwa alichanganyikiwa na ndoa hiyo kwani hakuwa tayari na ndoa Birdman na akawasilisha ombi la talaka.
View attachment 3303274
Birdman atalazimika kumlipa zaidi ya nusu ya utajiri wake zaidi ya dola milioni 160 kwani Toni Braxton amedai kuwa amewekeza pesa nyingi katika ndoa yao ya mwezi moja.
View attachment 3303275
Mwanamama huyo amedai kuwa amemsaidia sana Birdman kupiga hatua kwenye maendeleo yake ndani ya mwezi huo mmoja. Hivyo yeye kupewa nusu ya mali za Birdman ni haki yake ya msingi.
Birdman ulikuwa unakimbia vipindi katika chuo kikuu cha HAKIMINOLOGY! UMESHAUPOZA.
Hapa itabidi wapewe pointi nne kabisa.Timu kataa ndoa wanakuja kuchukua points zote tatu hapa
😔Ona hii kenge....inatuita nguchiro baadala ya mbwa 🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Miaka 16 ya uchumba mtu anakutafuta tu uingie kwenye ndoa amalize mchezo yani demu kaonyesha nini alikuwa anakitafuta miaka hiyo yote 16, ..huyo mwamba nae kichwa kikubwa kama helmet ya fekon akili hamna ,umefanikiwa kum**mba demu miaka 16 yote unafunga nae ndoa ili utafute nini tena na usikute hata mtoto hajakuzalia, poor birdman
Ndo ashamuingizia jamaa missDaah,katika kukua kwangu,I had a magazine with a front picture of this wonderful woman,nilikuwq nampenda kuliko maelezo.. na hata sasa
Nasikilizaga nyimbo za birdman nachekaga sana vitu anazosema humo hahaha. Anyway "Haha this dudes they were always up and down. Seems like 2 people that are just not mentally well... anyways bt ndoa bado ni Legal so they can decide whenever they're happily or not👋🏼
Mbona habari ya zamani hii? Toni Braxton aliomba talaka tangu mpaka jana mwezi August na walishatengana. Sina uhakika kama divorce imeshakuwa finalized but I'll bet my kidney that Birdman has a pre-nup. There's no way Toni is getting half of Birdman's money, no way!KIMEUMANA🚨‼️
Mwanamama Toni Braxton amefungua kesi ya kudai talaka dhidi ya mume wake Birdman ndani ya mwezi mmoja tu baada ya ndoa yao kwa sababu kuu akidai amechoka na ndoa hiyo.
View attachment 3303273
Toni Braxton na Birdman walichumbiana kwa zaidi ya miaka 16 na walifunga ndoa mwezi uliopita lakini leo, Toni Braxton amedai kuwa alichanganyikiwa na ndoa hiyo kwani hakuwa tayari na ndoa Birdman na akawasilisha ombi la talaka.
View attachment 3303274
Birdman atalazimika kumlipa zaidi ya nusu ya utajiri wake zaidi ya dola milioni 160 kwani Toni Braxton amedai kuwa amewekeza pesa nyingi katika ndoa yao ya mwezi moja.
View attachment 3303275
Mwanamama huyo amedai kuwa amemsaidia sana Birdman kupiga hatua kwenye maendeleo yake ndani ya mwezi huo mmoja. Hivyo yeye kupewa nusu ya mali za Birdman ni haki yake ya msingi.
Birdman ulikuwa unakimbia vipindi katika chuo kikuu cha HAKIMINOLOGY! UMESHAUPOZA.
Kazi ipoKIMEUMANA[emoji599][emoji845]

Mkuu una maoni ganiTimu kataa ndoa wanakuja kuchukua points zote tatu hapa