Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,921
- 19,772
Sio wewe tu, huyu dada hata me nilimpenda.Daah,katika kukua kwangu,I had a magazine with a front picture of this wonderful woman,nilikuwq nampenda kuliko maelezo.. na hata sasa
no, ni nne refa kasema hivoTimu kataa ndoa wanakuja kuchukua points zote tatu hapa
Tonni Braxton ndio maana Mimi nilimkataa mapema sana. Enzi zile ana hit, aloshawahi kufunga safari kunifuata Kamsamba, nikamwambia kabisa sikutaki,.labda nile tu mbususu kisha uende kwenu, ila Mimi ndoa na wewe ni big no, utanifilisi.Birdman atalazimika kumlipa zaidi ya nusu ya utajiri wake zaidi ya dola milioni 160 kwani Toni Braxton amedai kuwa amewekeza pesa nyingi katika ndoa yao
Jinamizi la kugawana mali limesababisha kiweweAcha uongo mtoa mada sijui unaandika uongo kwa faida ya nani, as a Toni's fan nakurekebisha,
Kwanza Toni na Bird hawajafunga ndoa mwezi ulopita, wameanza kudate tangu 2016, na 2018 Bird akamchumbia Toni, 2024 wakafunga ndoa ya siri, baada ya miezi 8 ya ndoa yao Toni aka file talaka, ieleweke Toni na Bird mahusiano yao yamekua on and off kama Mondi na Zuchu, lakini mpaka muda huu Toni amefunga jalada la talaka kwa hiyo bado ni MKE na MUME,
Hayo ya kugawana mali mwenzetu umeyatoa wapiiiii!!!????
Daah,katika kukua kwangu,I had a magazine with a front picture of this wonderful woman,nilikuwq nampenda kuliko maelezo.. na hata sasa
Unazingua madamKwa namna wanaume walivyo washenzi...
Maslayqeen nyokeni nao hao nguchiro🤒
Duh aiseee
Birdman is a certified gasta, Tony hawez kufanya huo upuuz ni risky na dangerous, birdman has king von type dudes ambao they don't miss, na nadhani marriage yao ilikuwa na prenup....Kwa namna wanaume walivyo washenzi...
Maslayqeen nyokeni nao hao nguchiro🤒
Haha this dudes they were always up and down. Seems like 2 people that are just not mentally well... anyways bt ndoa bado ni Legal so they can decide whenever they're happily or not👋🏼Birdman is a certified gasta, Tony hawez kufanya huo upuuz ni risky na dangerous, birdman has king von type dudes ambao they don't miss, na nadhani marriage yao ilikuwa na prenup....
🤣🤣 Hi! Upo?Unazingua madam
🤣🤣🤣🤭Duuuh mbona "generalization"?!!
Unakuwaje ushenzi ukawa na jinsia ?!!
🤣🤣🤣🤸🤸Au sio
Hicho kibibi kizuri sana lakini kichwa ni emptyKIMEUMANA🚨‼️
Mwanamama Toni Braxton amefungua kesi ya kudai talaka dhidi ya mume wake Birdman ndani ya mwezi mmoja tu baada ya ndoa yao kwa sababu kuu akidai amechoka na ndoa hiyo.
View attachment 3303273
Toni Braxton na Birdman walichumbiana kwa zaidi ya miaka 16 na walifunga ndoa mwezi uliopita lakini leo, Toni Braxton amedai kuwa alichanganyikiwa na ndoa hiyo kwani hakuwa tayari na ndoa Birdman na akawasilisha ombi la talaka.
View attachment 3303274
Birdman atalazimika kumlipa zaidi ya nusu ya utajiri wake zaidi ya dola milioni 160 kwani Toni Braxton amedai kuwa amewekeza pesa nyingi katika ndoa yao ya mwezi moja.
View attachment 3303275
Mwanamama huyo amedai kuwa amemsaidia sana Birdman kupiga hatua kwenye maendeleo yake ndani ya mwezi huo mmoja. Hivyo yeye kupewa nusu ya mali za Birdman ni haki yake ya msingi.
Birdman ulikuwa unakimbia vipindi katika chuo kikuu cha HAKIMINOLOGY! UMESHAUPOZA.