beefinjector
JF-Expert Member
- Jul 23, 2009
- 2,830
- 2,835
Rais hana mamlaka ya kuandika miswada. Trump muda mwingine huwa anabwabwaja tu.Haya ya 50/50 ndio trump aliyakataa kipindi anaingia ikulu January
Sijajua ule mswada wake WA wanawake wanaoachika wapewe 10% ya utajiri sawa na madalali ulishapita au vipi?
Hakuna sheria inayosema hivyo. Mnapoachana kunakuwa na majadiliano ya mgawanyo wa mali na kuna vitu vingi huwa vinazingatiwa, haiko automatic kwamba mnagawana nusu kwa nusu. Kama kuna pre-nup ndio kabisa itaangaliwa pre-nup inasemaje. Mtu kama Birdman kamwe hawezi kuingia kichwa kichwa kwenye ndoa. Nina uhakika kuna pre-nup.Ni Sheria za marekani usichanganye mambo, wao wanaita malipo ya fidia si kugawana mali walizotafuta kwenye ndoa
That's what I am talking about, Birdman is a 5star stunner haiwezekani akubali bila pre-nup, jamaa ndio watu wa kwanza kwanza kwenda independent, he owns all the cash money records masters 😂😂😂 jambo dogo la mademu wa mjini haliwezi mshinda , Brian and Slim come from the Trenches, alooh hiyo kitu nimesema huko juu...Mbona habari ya zamani hii? Toni Braxton aliomba talaka tangu mpaka jana mwezi August na walishatengana. Sina uhakika kama divorce imeshakuwa finalized but I'll bet my kidney that Birdman has a pre-nup. There's no way Toni is getting half of Birdman's money, no way!
Bado, hiyo divorce ilikuwa ni fund raising in disguise, kutokana na kufilisika.Toni katia mkeka tayari.... 😁
Ndo katia mkeka hapo, chama cha wanawake wapenda maendeleo tunamuombea mkeka utiki 😁Bado, hiyo divorce ilikuwa ni fund raising in disguise, kutokana na kufilisika.
"Toni Braxton has experienced financial difficulties, leading to two bankruptcy filings"
Nipo aisee😀👍🤣🤣 Hi! Upo?
Utafunga na kale ka binti kenye mchanga kitumbuani
Nimekasirika sana aiss!Ndoa ya mwezi mmoja watu wanataka nusu ya mali 😃
Hii inanikumbusha jamaa yangu mmoja, baada ya kuishi na mwanamke wake uchumba sugu kwa zaidi ya miaka 15 na kupata watoto watatu, baada ya kuhalalisha ndoa, hawakudumu hata miezi 6, ndoa ikavunjika. Jamaa mpaka sasa hajaoa tena(sijui anasikilizia labda mama watoto atarudi), ingawa za chini chini zinadai aliyekuwa mkewe (mtalaka wake) tayari ana jamaa anayeishi naye.KIMEUMANA🚨‼️
Mwanamama Toni Braxton amefungua kesi ya kudai talaka dhidi ya mume wake Birdman ndani ya mwezi mmoja tu baada ya ndoa yao kwa sababu kuu akidai amechoka na ndoa hiyo.
View attachment 3303273
Toni Braxton na Birdman walichumbiana kwa zaidi ya miaka 16 na walifunga ndoa mwezi uliopita lakini leo, Toni Braxton amedai kuwa alichanganyikiwa na ndoa hiyo kwani hakuwa tayari na ndoa Birdman na akawasilisha ombi la talaka.
View attachment 3303274
Birdman atalazimika kumlipa zaidi ya nusu ya utajiri wake zaidi ya dola milioni 160 kwani Toni Braxton amedai kuwa amewekeza pesa nyingi katika ndoa yao ya mwezi moja.
View attachment 3303275
Mwanamama huyo amedai kuwa amemsaidia sana Birdman kupiga hatua kwenye maendeleo yake ndani ya mwezi huo mmoja. Hivyo yeye kupewa nusu ya mali za Birdman ni haki yake ya msingi.
Birdman ulikuwa unakimbia vipindi katika chuo kikuu cha HAKIMINOLOGY! UMESHAUPOZA.
Hii inanikumbusha jamaa yangu mmoja, baada ya kuishi na mwanamke wake uchumba sugu kwa zaidi ya miaka 15, baada ya kuhalalisha ndoa, hawakudumu hata miezi 6, ndoa ikavunjika. Jamaa mpaka sasa hajaoa tena, ingawa za chini chini zinadai mkewe ( tayari ana jamaa anayeishi naye.KIMEUMANA🚨‼️
Mwanamama Toni Braxton amefungua kesi ya kudai talaka dhidi ya mume wake Birdman ndani ya mwezi mmoja tu baada ya ndoa yao kwa sababu kuu akidai amechoka na ndoa hiyo.
View attachment 3303273
Toni Braxton na Birdman walichumbiana kwa zaidi ya miaka 16 na walifunga ndoa mwezi uliopita lakini leo, Toni Braxton amedai kuwa alichanganyikiwa na ndoa hiyo kwani hakuwa tayari na ndoa Birdman na akawasilisha ombi la talaka.
View attachment 3303274
Birdman atalazimika kumlipa zaidi ya nusu ya utajiri wake zaidi ya dola milioni 160 kwani Toni Braxton amedai kuwa amewekeza pesa nyingi katika ndoa yao ya mwezi moja.
View attachment 3303275
Mwanamama huyo amedai kuwa amemsaidia sana Birdman kupiga hatua kwenye maendeleo yake ndani ya mwezi huo mmoja. Hivyo yeye kupewa nusu ya mali za Birdman ni haki yake ya msingi.
Birdman ulikuwa unakimbia vipindi katika chuo kikuu cha HAKIMINOLOGY! UMESHAUPOZA.
Ndyo maana wanawake zetu kwenye ndoa wakichoka, huwa wana left/abscond unceremoniously😛, then wanakuwa wahanga kwenye ndoa inayofuata😹 Ila huko raha sana unaolewa unapiga picha za ukumbusho, unampikia week 2 ya tatu unaanza kujinunisha anakupiga week ya 4 unadai talaka uchukue mali zako…!!
Bongo sasa mwanaume unayeoana naye yeye mwenyewe kabati la nguo Hana, viboksa vyake vilivyotoboka anasunda kwenye shangazi kaja 😹😹😹
Ukidai talaka utasikia “Anataka tugawane mali zangu, halambi kitu hapa” 😹😹
Kwanza hawadindi km manara 😜
Kwa niaba ya wanaume tumekosa😹 Ila huko raha sana unaolewa unapiga picha za ukumbusho, unampikia week 2 ya tatu unaanza kujinunisha anakupiga week ya 4 unadai talaka uchukue mali zako…!!
Bongo sasa mwanaume unayeoana naye yeye mwenyewe kabati la nguo Hana, viboksa vyake vilivyotoboka anasunda kwenye shangazi kaja 😹😹😹
Ukidai talaka utasikia “Anataka tugawane mali zangu, halambi kitu hapa” 😹😹
Kwanza hawadindi km manara 😜
Hawaendani hata kidogo...ni kama Zuchu na Diamond tu.KIMEUMANA🚨‼️
Mwanamama Toni Braxton amefungua kesi ya kudai talaka dhidi ya mume wake Birdman ndani ya mwezi mmoja tu baada ya ndoa yao kwa sababu kuu akidai amechoka na ndoa hiyo.
View attachment 3303273
Toni Braxton na Birdman walichumbiana kwa zaidi ya miaka 16 na walifunga ndoa mwezi uliopita lakini leo, Toni Braxton amedai kuwa alichanganyikiwa na ndoa hiyo kwani hakuwa tayari na ndoa Birdman na akawasilisha ombi la talaka.
View attachment 3303274
Birdman atalazimika kumlipa zaidi ya nusu ya utajiri wake zaidi ya dola milioni 160 kwani Toni Braxton amedai kuwa amewekeza pesa nyingi katika ndoa yao ya mwezi moja.
View attachment 3303275
Mwanamama huyo amedai kuwa amemsaidia sana Birdman kupiga hatua kwenye maendeleo yake ndani ya mwezi huo mmoja. Hivyo yeye kupewa nusu ya mali za Birdman ni haki yake ya msingi.
Birdman ulikuwa unakimbia vipindi katika chuo kikuu cha HAKIMINOLOGY! UMESHAUPOZA.
Huyu hawezi kukaa kwenye ndoa wakati bwanake anayempa michongo Babyface yupo hai labda afariki.KIMEUMANA🚨‼️
Mwanamama Toni Braxton amefungua kesi ya kudai talaka dhidi ya mume wake Birdman ndani ya mwezi mmoja tu baada ya ndoa yao kwa sababu kuu akidai amechoka na ndoa hiyo.
View attachment 3303273
Toni Braxton na Birdman walichumbiana kwa zaidi ya miaka 16 na walifunga ndoa mwezi uliopita lakini leo, Toni Braxton amedai kuwa alichanganyikiwa na ndoa hiyo kwani hakuwa tayari na ndoa Birdman na akawasilisha ombi la talaka.
View attachment 3303274
Birdman atalazimika kumlipa zaidi ya nusu ya utajiri wake zaidi ya dola milioni 160 kwani Toni Braxton amedai kuwa amewekeza pesa nyingi katika ndoa yao ya mwezi moja.
View attachment 3303275
Mwanamama huyo amedai kuwa amemsaidia sana Birdman kupiga hatua kwenye maendeleo yake ndani ya mwezi huo mmoja. Hivyo yeye kupewa nusu ya mali za Birdman ni haki yake ya msingi.
Birdman ulikuwa unakimbia vipindi katika chuo kikuu cha HAKIMINOLOGY! UMESHAUPOZA.
Same , she was on fire 🔥🔥Daah,katika kukua kwangu,I had a magazine with a front picture of this wonderful woman,nilikuwq nampenda kuliko maelezo.. na hata sasa
Baby face ndiye Aliye kuwa anamto***!?Huyu hawezi kukaa kwenye ndoa wakati bwanake anayempa michongo Babyface yupo hai labda afariki.