Baada ya njia za giza kugonga mwamba kwenye kusaka utajiri, nimeamua kufanya hivi

"kumbuka hiyo wiki wanafunzi wameanza kuripoti shule wale kina john visomo"😂😂
Dah iko kipande kimenifanya nicheke kmoma mana kimenikumbusha mbali balaa ebhana tuauche masihara kuna wajomba wanasoma bhn yn ni ile mtu amepewa wosia wa vipaombele vya Mh Lowasa naukamuingia kwl kwl kwamba Namba moja Elimu namba mbili Elimu namba tatu Elimu
 
Nimefanya kosa sana kusoma hii episode usiku huu [emoji45]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23] Yan mkuu ukisema kuhusu kuchomwa na mvuke nacheka sana , hii kweli ni true story

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…