Daah pengine Joooh yuko zake kwa mama mwenyenyumba wanapiga story.Maana nlisikia wamepatana sisi tunasubiri.
Afu Kumbe mama mwenyenyumba haoni mbali bwana.ile tym jooh anaona anakaziwa macho kumbe mama mwenyenyumba anasikitika haoni mbali..Joooh alikuwa hajui hili ni agustino tu alikuwa anajua.
#ila nawaza tu vipi kama jooohs simu yake imedondoka bahati mbaya na tachi imeharibika inafanya kazi kwenye emoji tu.Wabongo nnavyowaelewa hata story ikihadisiwa kwa emoji wataelewa tu maneno wanaweka wenyewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]