Ule utaratibu wa kuongea pale ni wa Hovyo sana.. Hakuna kusikilizana... Yaani ni kama tunaingia umuone Ndugu yako na yeye akuone Basi...Inatakiwa wabadilishe mfumo uwe hata wa kiistaarabu kidogo
Ndomaana trump alituita shithole hakukisea
Sent using Jamii Forums mobile app
Zile damu ni yule mama ndio inaonekana alikuwa anasababisha ,alikuwa anatumia nguvu za kichawi ku kidnap vichanga soo zile damu zilikuwa za vile vichangaDah mwanangu nusu nitoe chozi ....afu nipo na manzi na nlimwambia natokea bara sasa ningetoa chozi nahisi angejua uhalisia wangu kuwa mwanaume wa Dar...
Ila mkuu tuambie sasa zile damu ni nini?[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Hata ikiwa unaenda mara moja kwa mwaka au baada ya miaka 2 sio mbaya ili ajisikie bado upo naye karibuSawa mkuu nikitaka siku nikitaka kwenda nitaku PM pengine yaweza kuta sumu za huu uzi zimepungua
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli hata mtaani kwetu nyumba ya namna hiyo ipo, mwenyewe aliitelekeza akaweka mlinzi ili awe anaifanyia usafi lakini mlinzi hakumaliza hata mwezi akaondoka. Nyumba yenyewe ya kisasa ila imekua kama gofu vichaka vimeota hadi ndani, madirisha yalikua ya vioo ila vimeshapasuka, geti lake lipo wazi muda wote, yani limekua lijumba flani la kutisha.
Usiku taa zinawaka vizuri kwasababu umeme bado upo nadhani tanesco wanaogopa kwenda kuukata.
Nimeghairi mkuu. Siendi tena. Tuendelee na uzi wa mr jooh.. maana jamaa anaweza sana na ni jasiri kwelikweli sio mitikasi hiyo.
Dah sure nimekumbuka mpska raia wakachoma moto....Zile damu ni yule mama ndio inaonekana alikuwa anasababisha ,alikuwa anatumia nguvu za kichawi ku kidnap vichanga soo zile damu zilikuwa za vile vichanga
Ndio maana pale hakukuwa na mpangaji mwingine lakini alimdanganya agustino kuwa mpango wake ni kupangisha wanafunzi tu.
Kumbe raia walikuwa washa mshitukua
Lakini sina majibu ya moja kwa moja maana nguvu za giza zinamambo mengi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi hakuna imoji ya kucheki inayogara gara chiniDaa pole sana wacha tuvumilie tu.
Ila hii story ikiisha itabidi tutengeneze kikundi tukisajiri tukachukue mkopo halmashauri maana kwa huu ushirikiano tutafanikiwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila joooh asiwe mwenyekiti wa kikundi asije akatupandia maharage bure members wote,afu hela akanunulia kuku na spoku,maharage yakikuwa atujie na kwanja badala ya kakisu si mnajua akishajilipuwa anakuwaga sio yeye[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nakuja ngoja nikavute tena[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Agustino is a true ambassodor wa msemo "GET RICH OR DIE TRYING"Nitaandikia mada nyingine nieleze kila kitu
Nilikuwa nataka nieleze humu lakini lengo linesha haribika
Hii mada inatakiwa ikae kwenye jukwaa la hoja na habari
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wazo lako ni zuri sanaHata humu kwa mtazamo wangu bado inakidhi vigezo vya kubaki kwani bado inaelezea mapito wanayopitia watu kwenye utafutaji
Kwa vile moderators wameamua kuiunganisha kule juu ni vizuri sasa ukaweka mbinu mpya za halali unazotumia kwa sasa kupambana na swala zima la utafutaji baada ya mbinu zenu kugonga mwamba
Hii itaipa nguvu kubwa story yako na itabaki kuwa funzo kwa wengine wanaodhani kwa waganga kuna kupata utajiri kirahisi au wanaouza bangi na madawa mengine ya kulevya wanapata utajiri kirahisi
Ulichokieleza kinafunzo kubwa kwa watafutaji kwani katika utafutaji watu tunapitia mahangaiko mengi sana ikiwemo kuwaza hayo ya waganga
Pamoja na yote kama utakuwa umechagua kuandika hicho kipengere chako cha mwisho kinachoelezea unayo yafanya kwa sasa kwenye post hii, jitahidi kuiweka kwa kulenga pointi za msingi unazotaka watu wajifunze
Mwisho kabisa kwani tangu uzi unaanza sikuchangia popote ila nimeufuatilia vizuri tu ili kujua hatima ya Augustino, nikushauri tu kwa vile umekiri ni story ya kweli iliyokutokea mwenyewe tafuta namna ya kwenda kumuona jamaa yako huko gerezani
Ni kweli kabisa wafungwa huwa wanahamishwa hamishwa ila ukiamua utampata tu! Nenda kampe hi atajisikia faraja
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah kwa nini umekata vitunguu karibu na macho yangu [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24],,ndugu pambana ww jasiri na bado mdogo sana naamini agustino amekuacha na nguvu kubwa ya mapambano komaa na usije msahau mshikaji wako kabisaBaada ya kufuta lile tope mdogo mdogo nikaanza kupandisha kimpando cha kuelekea kwa babu nikafika pale nikazuga kama nimeenda kuomba ganja akaanza kusema asubuhi yote umekuja kufanya nini nikamwambia nimekuja kufata dawa.
Akaniambia yamebaki makapi , kisha akaniuliza yule mwenzako agustino mzigo amesha leta nikasema hapana.
Ikabidi aingie ndani aniletee yaleyale makapi
Nilitoka pale kwa babu nikijua agustino hakuuza mtu yoyote kwa polisi basi nikaanza kutembea kurudi shuleni kwa yale mavazi nilishindwa nitarudi vipi ikabidi nitafute sehemu nikae nitulie nione jinsi gani nitatunga hoja .
Nilikaa mahali nikawaza agustino hana ndugu mahali pale nikasema nitafanyaje niende hata kumuona kituoni nikakosa jibu maana na mimi nilikuwa na hofia usalama wangu nilimpigia tena ndugu yake yule nikamwambia awaambie wazazi wake hata na yeye pia aje kumuona maana haikuwa mbali sana
Nilimwambia pia aje niwaoneshe getto ikiwezekana wachukue vitu vyake vya muhimu wa mtunzie jamaa aliniambia yeye anatangulia kashamwambia baba yake atakuja kesho
Basi alivyofika nilienda kumpokea pale centre tukaenda hadi getto jamaa akajitambulisha kuwa nikakaake tukavunja kufuli tumeingia ndani tafuta vitu muhimu kama simu, kadi ya banki,walet vyote hakuna na baadhi ya vitu vingine sivikumbuki
Basi yule kaka yake japo wakuvuta na kamba kesho yake akasema nije nimpeleke kituoni tumpelekee msosi mimi nilikubali ila nikamwambia nitabaki mbali kabisa usikie maafande watakwambiaje.
Kweli kesho yake nilivunja vipindi nikamsindikiza Yule jamaa alivyorudi akaniambia walimuoji ikabidi awaambie yeye ni kaka yake alitokea wilaya nyingine kuja kumletea msosi, Jamaa aliulizia kama anaweza muwekea dhamana ya pale kituoni maafande walikataa wakasema tena jarada lake linapelekwa mahakama ya wilaya
Daa jamaa alichoka tulirudi nae hadi getto kesho yake tena tukaenda kumuona na yule jamaa ndio nikajua kweli bongo nyoso yani hawakupi nafasi ya kuongea na mtu ukishapeleka msosi unaonja askari wanachukua unatembea mbele huwezi ongea hata siri na mtuumiwa , Halafu kituoni kumbe hawapiki sasa nikawa najiuliza hivi waliokamatwa na hawana ndugu karibu huwa wanakula nini kabla hawajapelekwa magereza
Kiufupi agustino kesi yake ilipelekwa mahakama ya wilaya, tena alishitakiwa na jamuhuri kwa kosa la kukamatwa na zaidi ya kili 100 za bangi tena alikamatwa na ushahidi kabisa boda boda wake kwa kujitetea ikabidi amchomee kabisa alisimama kama shahidi wa mwisho
Kulingana na mapambano ya bangi kipindi kile bila huruma hakimu alimtundika miaka 30 jela. Nimechoka kutype
Oky ngoja niendelee nakumbuka siku ya mwisho nimeenda kumuona pale magereza nikiwa nimeshika mkate na vipande vya sabuni + wembe nikajua labda kidogo kule magereza kutakuwa na utaratibu mzuri wa kuongea na mfungwa asee kufika tuliruhusiwa raia kama 20 hivi kwa mkupuo eti tuongee na wafungwa wetu kwa zile kelele sikuweza kumsikia vizuri neno nililolisikia kutoka kwake ni MWANANGU ENDELEA KUKOMAA
Na hapo nilikuwa nimetoka shuleni wilaya nyingine wakati natoka kwenye lile gereza nilijisikua huzuni sana kiasi kwamba nilijikuta na bubujikwa na machozi baada kama ya mwaka na nusu kupita nikiwa chuoni niliongea na yule kaka yake akaniambia agustino alihamishwa butimba mwanza
Kunakipindi niliona magufuli ameenda pale niliangaika sana kumtafuta agustino kwenye zile camera lakini sikufanikiwa kumuona rafiki yangu kipenzi now kamanda agustino amemaliza miaka 5 gerezani. kwa kifungo cha miaka 30 kwa jinsi wanavyo hesabu amebakiza miaka 15 gerezan
Mimi bado nikijana sana mwaka huu mwezi fulani na fikisha 24 yrs damu bado inachemka naendelea kupambana rafiki yangu mpambanaji agustino, kufa na kupona, kwa hali na mali nijipanue kiuchumii ili siku ukitoka gerezani husije kunicheka eti nilikuwa napoteza muda kitaa
Nataka uje unikute nimesha tengeneza bara bara nzuri ya kiuchumi uje tuishi maisha ya kidoni kama zilivyokuwa ndoto zako.
Nilichojifunza urafiki bora haupimwi kwa muda unapimwa kwa matendo maana niliishi na agustino katika kipindi kifupi sana lakini ameacha historia kubwa sana ndani ya maisha yangu
Nineandika kwa haraka vibaya vibaya kama kutakuwa na makosa tusameeane
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuuHata ikiwa unaenda mara moja kwa mwaka au baada ya miaka 2 sio mbaya ili ajisikie bado upo naye karibu
Ndio hivyo hakuna namna nikukomaa tu.Dah kwa nini umekata vitunguu karibu na macho yangu [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24],,ndugu pambana ww jasiri na bado mdogo sana naamini agustino amekuacha na nguvu kubwa ya mapambano komaa na usije msahau mshikaji wako kabisa
Sent from my Infinix X559C using Tapatalk
[emoji23][emoji23] wakati nakujibu nikihisi kunakipande utakua umerukaDah sure nimekumbuka mpska raia wakachoma moto....
Ila mwanangu Joooh mwamba agustino nimemkubali kichizi.Ningekuwa nna mamlaka jamaa ningemwachia huru alipambana kuzifikia ndoto zake ila daah naona mapoti wakampenda zaidi.
Ila ni wakati wako wa kuonesha thamani unayompa mastermind Agustino maana hakukutaja wala kumtaja yeyote yule aliamua ateketee kama mshumaa.Bless sana kwa huyu Jamaa
Tafuta drone ipeleke hapo ichukue video wewe ukiwa mbali.Nimeghairi mkuu. Siendi tena. Tuendelee na uzi wa mr jooh.. maana jamaa anaweza sana na ni jasiri kwelikweli sio mitikasi hiyo.
Mkuu nilipambana sana semaa kilicho niokoa kwenye yale masomo 3 nilikuwa naelewa sana sana economics na geography toka Olevo maana nilisoma masomo ya biasharaPole sana kwa yote... Agusto kawagusa wengi sana... Mungu amsadie atoke mzima na akukute na moyo huu huu. Unapitia magumu.... Kwa ufupi tungependa angalau useme kama A level Ulifanikiwa kumaliza baada ya agusto kufungwa na unacho fanya kwa sasa ...
Sent using Jamii Forums mobile app