Baada ya njia za giza kugonga mwamba kwenye kusaka utajiri, nimeamua kufanya hivi

Stori gani ya huyo jamaa jerrybanks

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo agustino muda wote huo unajuana nae hakuwa na girlfriend hapo mtaani?
Pale mtaani kwenye kile kijiji sikuwahi mshuhudia agustino akiwa na demu yoyote siwezi conclude moja kwa moja kwamba alikuwa hana labda walikuwa wanakutana huko maporini mimi siwezi elewa

Lakini alikuwa akiongea sana kwenye simu na girlfriend wake aliyekuwa anasoma kwao nyumban anakotokea agustino ,ila mimi sikuwahi mshuhudia na macho





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu tupatie na mbinu mbadala unayotaka kuifanya, maana heading ya stori inaonesha bado kuna vitu hujaviweka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oya mwanangu kwa kukadilia Augustino mpaka anatoka jela atakua na umri gani?
 
Alitoa story yake walikua na safari kwenda kigoma wakavamiwa na majambazi usiku, wakafanya mpango wakafika kigoma, wakamtafuta mzee mmoja hv mashuhuri kigoma akawatengenezea dawa waweze kurudiashiwa vitu vyao, kitu ambacho mganga aliwatengenezea yan ni kama lijitu flan halieleweki likatumwa kwenda kurudisha vitu vyako yani vilirudi vitu vyote aisee, ngoja nitaifuta thread yake nikutumie.
Stori gani ya huyo jamaa jerrybanks

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poa mkuu, asante, icopy link halafu iweke hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oya mwanangu kwa kukadilia Augustino mpaka anatoka jela atakua na umri gani?
Kama factors zote zitabaki vilevile

Mfano kusiwepo na msamaha wa rahisi au kikokotoo cha magereza kisibadilike kwa jinsi wanavyo kokotoa muda

Anaweza toka na miaka 30 au 40 maana sina uhakika sana by the time anahukumia alikuwa anachezea 19 au 20 yrs

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekosea guys nimerudi kufanya proof reading nakuta nimeandika utopolo

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Sio mbaya, bado atakua na nguvu ya kuanzia, cha msingi mwandalie njia pia na mke akifika tu anaanzisha familia.
 
Duh! Ebana hii story nimeanza kuifuatilia tangu majuzi sasa leo ndio nimepata muda mzuri niko nafuatilia page tu page nimefikia hapa na bado naendelea kuisoma,. Dah! Mkuu Jooh kumbe umepitia mazito haya, pia nimeangalia PM yangu nimegundua tumeshawahi kupeana ushauri wa biashara za kufanya ukaniambia utafanyia kazi ushauri wangu nawe ukaniahid nikiwa tayar nikihitaji knowledge ya Forex utanifunza bila shaka,..aiseee Mkuu wewe ni mpambanaji japo ulishawishika vibaya lakini naimani sasa umejifunza mengi na umefanikiwa sana. Hakika pesa ya ushirikina ni mateso na taabu hakuna amani. wacha niendelee kujifunza kupitia haya uliopitia.
 
😀😀😀Hapa nilicheka kidogo nife maana nimeparudia kama mara tano hiv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…