Capital G
JF-Expert Member
- Jul 2, 2017
- 3,445
- 5,336
Hakuna watu wanasnitchiana kama ma pusha
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika sheria nasikia iko hivyo..
Siku Hiyo wamenivamia ndo nilikua nimerudi na mzigo Ila nilikua nauacha sehemu nyingine.
Hivyo wangenipata aisee sijui ingekuwaje..
Sena mapusher wanachomana sana.
Sent using Jamii Forums mobile app