Baada ya njia za giza kugonga mwamba kwenye kusaka utajiri, nimeamua kufanya hivi

Baada ya njia za giza kugonga mwamba kwenye kusaka utajiri, nimeamua kufanya hivi

Ha ha! Why don't you say yes..?

Hiyo yes hujui tu inamaana kubwa Sana kwako na kwangu!
Itafungua kurasa adhimu!,kurasa ya huba ambalo hutoweza kujutia.
Yes yako itakufanya uitwe malaika!,yes yako itatuliza moyo wako kwa kupata huba tamu lisilo vipimo toka kwangu..

Usiutie ukwasi nafasi adhimu,nipe nafasi uone utamu!
Wangu ma baby nikuite lady
Wangu wa huba nikutoe dhoruba😉

Sema nami nitete nawe,nikuite honey uniite nawe😜
Jamani, Jamani.!!
Kenzy wewe ni muandishi wa mashairi??
 
Plz usiruke..andika vyote tutasoma..its very interesting story.
Nataka tu nitoe summary ya vitu vitabu

Damu zile zilisababishwa na nini

Mimi na yeye baada ya kwenda kuangalia mbegu tulikuta nini

Agustino nini kilimkuta na sasa yuko wapi

Kila kitu kitakuwa kwenye final episode

Nitaruka vitu vingi sana maana story imekuwa ndefu



Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pengine watu wanataka labda nisimulie kama movies wakilenga labda mwisho wa story utakuwa wa namna fulani ni ngumu sana kwa maisha ya kawaida kwani hayajui sterling ni nani kule juu kunawengine walijitungia story yao mpaka ikaisha

Lakini mimi nimesema nasimulia matukio tu niliyoyaona kwa macho yangu sio bongo movie au sinema za kichina

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa, kama una muda simulia kila kitu mkuu achana na hao wanaotaka summary
 
Jamaa alibeba MASTERING HISTORY kwa mganga[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Read my signature below [emoji116]

WANA JAMII FORUMS, TUSIFANYE MAKOSA TENA OCT 2020

🤣🤣🤣🤣🤣utasoma sa ngapi na kazi iliokupeleka huko sio mchezo lazima dish licheze
 
Back
Top Bottom