Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani, Jamani.!!Ha ha! Why don't you say yes..?
Hiyo yes hujui tu inamaana kubwa Sana kwako na kwangu!
Itafungua kurasa adhimu!,kurasa ya huba ambalo hutoweza kujutia.
Yes yako itakufanya uitwe malaika!,yes yako itatuliza moyo wako kwa kupata huba tamu lisilo vipimo toka kwangu..
Usiutie ukwasi nafasi adhimu,nipe nafasi uone utamu!
Wangu ma baby nikuite lady
Wangu wa huba nikutoe dhoruba😉
Sema nami nitete nawe,nikuite honey uniite nawe😜
Dah, Pole sana mkuu kwa mapitoNilichokuja kugundua shetani ni mjanja sana
Anaweza mkakubaliana akupatie ndege kama usafiri
Akakupatia kweli lakini ikawa haipai
Anakuwa amesha timiza lengo lake
Sent using Jamii Forums mobile app
Nataka tu nitoe summary ya vitu vitabu
Damu zile zilisababishwa na nini
Mimi na yeye baada ya kwenda kuangalia mbegu tulikuta nini
Agustino nini kilimkuta na sasa yuko wapi
Kila kitu kitakuwa kwenye final episode
Nitaruka vitu vingi sana maana story imekuwa ndefu
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani, Jamani.!!
Kenzy wewe ni muandishi wa mashairi??
Sawa, kama una muda simulia kila kitu mkuu achana na hao wanaotaka summaryPengine watu wanataka labda nisimulie kama movies wakilenga labda mwisho wa story utakuwa wa namna fulani ni ngumu sana kwa maisha ya kawaida kwani hayajui sterling ni nani kule juu kunawengine walijitungia story yao mpaka ikaisha
Lakini mimi nimesema nasimulia matukio tu niliyoyaona kwa macho yangu sio bongo movie au sinema za kichina
Sent using Jamii Forums mobile app
safi
Jamaa alibeba MASTERING HISTORY kwa mganga[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Read my signature below [emoji116]
WANA JAMII FORUMS, TUSIFANYE MAKOSA TENA OCT 2020
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu asubuhi ndiyo hii fanya fanya basi
Hahaha..!Mkuu asubuhi ndiyo hii fanya fanya basi