Gachuma jr
JF-Expert Member
- May 20, 2018
- 839
- 451
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Kuna watu mnaogopa kweli..??Jooh endelea jamani timu waoga tunasoma asubuhi tushatia kambi. Ila mnaosoma hii story usiku roho zenu ngumu aiseee sijui na nyie mnatumia Vipisi vya mpishi...
Mkuu, hii story inatisha, mwenye nyumba na mganga wake wanafanya usiku upite kwa shida sana. Kama jana nilikua napika nikahisi mtu ananitolea jicho dirishani, ukitembea unasikia kama kicheko kweli kumbe ni uoga tu.Hivi Kuna watu mnaogopa kweli..??
Kama nihivyo basi mnavichwa vya ajabu😂
Sasa naanzaje kuogopa namna hii
Nikishasoma nafikiria kidogo tu baada ya hapo kichwa kishadakia mambo mengine! Hata nikikumbuka sioni tabu yoyote.. na hata sivuti ndumu
Mkuu hivi kila mtu huchanjiwa wembe wake mwenyewe kweli?! Isijekuwa 'sharing' kama kwenye "Passed like a shadow!"Mkuu usione mtu hana chanjo ukadhani ni mtakatifu
Unakosea sana zamani tulikuwa tunaona watu wengi wanaalama za chanjo sehemu tofauti tofauti lakini now hatuwaoni
Sii kwa sababu hawachanjwi hapana ni technologia ya uchanjaji imebadilika. Kama umenisoma vizuri nimeeleza kabla mganga hajakupiga chanjo lazima wembe aupasue utengeneze nchaa kali.
Wembe mmoja anaweza pasua hata vipande vinne sasa akiwa anapitisha mwilini nikama anakutoboa vitundu vidogo
Alama nilizokuwa nazo zote zimeisha tena ni miaka 5 imepita sehemu iliyokuwa najishitukia ni mbele ya kiwiko na ilesehemu kiganja cha mkono kinapo anzia lakini zote zilifutika kabisaView attachment 1411505
Sent using Jamii Forums mobile app
Coming Soon.....Kaka ulipitia magumu sana, pole kwa hayo umenikumbusha na mm niliwahi kupanda mliman nadhan wakaz wa Mwanza wanaelewa jiji lilivyo. Aise sasa nmemalza kukwich na mke wa mtu ilikuwa kama saa 6 ucku nikaamua kurud aiseee nilikuta na fisi wa kufa kufa yan niljikuta nipo gheto lkn kesho yake sasa nilikuwa nakanda tu vidonda
Sent using Jamii Forums mobile app
Kibovu kweli maana kama unachanganywa tu wakati story iko open bila shaka wewe ni kichwa boxMi kichwa changu kibovu aisee
Umenifanya niote nimejikuta Mimi ndo wewe eti nipo kwa mganga napewa masharti hayo Mara nipo maporini Mara nakimbia vichakani
Hahahaaa nimeamka najichekea mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja niweke alama nilipoishia [emoji274]
kwa vitu unavomilik ww nafanikiw bila kwend kwa mgangaKwa ambae atataka kwenda kwa Mganga real anaetoa ndagu ya utajiri bila kafara anicheki inbox.
Watu saizi tunatembelea vitz sababu ya mganga,namiliki mpesa moja BUZA na kijiwe cha kahawa m/rangi3
Sent using Jamii Forums mobile app
hatari sana na mganga hakutaka kuwaambia kuwa wanaenda kuua wapendwa waoMizimu chakula Chao kumbe damu
Kuku alichinjwa damu
Mpatr hela mizimu ilitaka damu ya BINADAMU
UTAJIRI UNATAKA DAMU YA BINADAMU NA SIO YA KUKU
😂😂Mkuu, hii story inatisha, mwenye nyumba na mganga wake wanafanya usiku upite kwa shida sana. Kama jana nilikua napika nikahisi mtu ananitolea jicho dirishani, ukitembea unasikia kama kicheko kweli kumbe ni uoga tu.