Mkuu
Kamundu , hili la uadilifu wa Comred Ole Nasha, nakuunga mkono hata mimi nimezungumzia hapa
Tribute to William Ole Nasha: Alikuwa Miongoni Mwa Viongozi Wachache Bonafide Genuine Wazalendo wa Kweli waTaifa Hili. RIP Comred William Ole Nasha!
Lakini naomba usilete any conspiracy theories zozote kwenye kifo chake, kifo ni kazi ya Mungu.
Pili ujenzi wa bandari ya Bagamoyo, ilikuwa ndio iwe a feed port ya mzigo wa kushibisha SGR. Bandari ya Dar es Salaam hata iki operates kwenye full capacity, haiwezi kushibisha SGR ikajiendesha kwa faida.
Reli ya SGR: Je, Tujifunze kwa wenzetu Kenya kuepusha SGR yetu kuwa ‘A White Elephant’? Wenzetu yameshawakuta...
Ujenzi wa bandari ya Bagamoyo, inakuwa ni a free port, zile yards za magari Japan, Dubai na Singapore, zinahamia Bagamoyo, hivyo nchi zote za Africa South of Sahara, wanakuja kununua mahitaji yao yote Tanzania.
Na kwa vile tunafanya miradi kibao mikubwa ya kimkakati, sijaona ukiuliza mkataba wa SGR, Stigler, Ununuzi wa Ndege, Ujenzi wa Flyovers etc, why utake mkataba wa Bagamoyo?. Mikataba yote ina confidentiality clause. Kwani umeona mkataba wa Barrick?. Why so much noise on Bagamoyo Port?.
P
P